Natafuta mume

Natafuta mume

Salaam kwenu,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nikiwa na akili timamu kabisa bila kushawishiwa na mtu yeyote, naweka bandiko hili la kutafuta mwanaume ambaye atakuja kuwa mume wangu.

Vigezo:

Awe mchamungu,
Rangi yoyote ila nyeusi itapewa kipaumbele
Asiwe na kitambi
Awe anajitambua kuwa yeye ni mwanaume na autumie vizuri uanaume wake
Elimu yoyote ile [emoji23][emoji23][emoji23]


Sifa za mimi:

Mweusi
Mwembamba
Sina matako makubwa
Elimu ya darasa la saba
Sina mtoto

Umri
Awe na miaka kuanzia 32+
Umri wangu 26

Aliye tayari kuanza maisha mapya aje PM


Ahsanteni sana
Kuwa bimdogo utaweza?
 
Unanipangia ??? Wewe ni Melo!!? Kenge wewe anzisha forum yako uwapangie watu masharti mwanaizaya wewe
Naninaaaa ndo maana hujapata mume hadi leo, utadanga hadi kisigino kiende upande pambaffffffffff
 
Pole sana, mie sio mtoa riziki muombe mungu akuondoe kwenye hilo janga
Naninaaaa ndo maana hujapata mume hadi leo, utadanga hadi kisigino kiende upande pambaffffffffff
 
Pole sana, mie sio mtoa riziki muombe mungu akuondoe kwenye hilo janga
Hii ni comment ya 932 page no 47 na bado utaendelea kusugua gaga, usaili unaonesha ni mkorofi na dawa ya wakorofi ni kukopwa tu mechi hadi papuchi iwe na rangi nyeusi kama lami!
 
Unanipangia ??? Wewe ni Melo!!? Kenge wewe anzisha forum yako uwapangie watu masharti mwanaizaya wewe
Hapana si kweli, hawezi kuwa kenge. Kenge amepata wapi smartphone au computer aingie JF? Na hata akipata, kenge hawezi kutype.
 
Kwa ulichokiandika kuhusu Uzi wako, taarifa zako na hali ya uhitaji wa mume ni ya kweli ama Uzi una dhumuni jengine?
Ni burudani tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
sasa kama hauna matako makubwa,hayo yaliyopo ni madogo kiasi gani.

the smaller the berry the bitter the juicy... but the bigger fat uuuuaaass the sweeeter the juice
 
Back
Top Bottom