[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Natafuta mke
Sifa zangu
Ni mchamungu,
Rangi yangu n i mweusi
Sina kitambi,
Ninajitambua kuwa mimi ni mwanaume na najua kuutumia vizuri uanaume wangu,
Sifa za mke nimtakae
Mweusi,
Mwembamba,
Asiye na matako makubwa,
Elimu la saba,
Asiye na mtoto.
Huu uzi nadhani ufungwe lengo la mleta mada nishalitimiza.
Salaam kwenu,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nikiwa na akili timamu kabisa bila kushawishiwa na mtu yeyote, naweka bandiko hili la kutafuta mwanaume ambaye atakuja kuwa mume wangu.
Vigezo:
Awe mchamungu,
Rangi yoyote ila nyeusi itapewa kipaumbele
Asiwe na kitambi
Awe anajitambua kuwa yeye ni mwanaume na autumie vizuri uanaume wake
Elimu yoyote ile [emoji23][emoji23][emoji23]
Sifa za mimi:
Mweusi
Mwembamba
Sina matako makubwa
Elimu ya darasa la saba
Sina mtoto
Umri
Awe na miaka kuanzia 32+
Umri wangu 26
Aliye tayari kuanza maisha mapya aje PM
Ahsanteni sana
SawaYaani sifa zote ni nazo Ila ulipo nivunja moyo kwamba tako hakuna
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini hawapatikani,tatizo nini? Weka picha kuanzia shingoni mpaka chini,nikupe ushauri wenye tija...
Kwa nini hawapatikani,tatizo nini? Weka picha kuanzia shingoni mpaka chini,nikupe ushauri wenye tija...
Nasubiri picha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimehitimu la saba, nikajifunza cherehani.... Na sasa mimi ni fundi cherehani....... Usihofu juu ya kupangilia maneno, ni vile sisi la saba wa zamani tulikua timamu mnooDarasa la saba hawezi kupangilia maneno kiasi hiko, labda useme unafurahisha tuu
Sent using Jamii Forums mobile app