Natafuta mume

Natafuta mume

Natafuta mke
Sifa zangu
Ni mchamungu,
Rangi yangu n i mweusi
Sina kitambi,
Ninajitambua kuwa mimi ni mwanaume na najua kuutumia vizuri uanaume wangu,

Sifa za mke nimtakae

Mweusi,
Mwembamba,
Asiye na matako makubwa,
Elimu la saba,
Asiye na mtoto.


Huu uzi nadhani ufungwe lengo la mleta mada nishalitimiza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani sifa zote ni nazo Ila ulipo nivunja moyo kwamba tako hakuna
Salaam kwenu,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nikiwa na akili timamu kabisa bila kushawishiwa na mtu yeyote, naweka bandiko hili la kutafuta mwanaume ambaye atakuja kuwa mume wangu.

Vigezo:

Awe mchamungu,
Rangi yoyote ila nyeusi itapewa kipaumbele
Asiwe na kitambi
Awe anajitambua kuwa yeye ni mwanaume na autumie vizuri uanaume wake
Elimu yoyote ile [emoji23][emoji23][emoji23]


Sifa za mimi:

Mweusi
Mwembamba
Sina matako makubwa
Elimu ya darasa la saba
Sina mtoto

Umri
Awe na miaka kuanzia 32+
Umri wangu 26

Aliye tayari kuanza maisha mapya aje PM


Ahsanteni sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom