Hahahahaahaha duuuNingekuunganisha na kaka yangu ila tatizo lako una hasira, huwezi kujishusha na yule bro ana hasira pia. Naona kuna siku mtu atapasuliwa magego na mwenzake.
Ashapata wewe pole ya nn sasa?La Saba, mwembamba, alafu na tako huna? Pole yako
aiseeSina matako makubwa
Message can't be sent in your PM!!!!Have you got the man of your dream?Salaam kwenu,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nikiwa na akili timamu kabisa bila kushawishiwa na mtu yeyote, naweka bandiko hili la kutafuta mwanaume ambaye atakuja kuwa mume wangu.
Vigezo:
Awe mchamungu,
Rangi yoyote ila nyeusi itapewa kipaumbele
Asiwe na kitambi
Awe anajitambua kuwa yeye ni mwanaume na autumie vizuri uanaume wake
Elimu yoyote ile [emoji23][emoji23][emoji23]
Sifa za mimi:
Mweusi
Mwembamba
Sina matako makubwa
Elimu ya darasa la saba
Sina mtoto
Umri
Awe na miaka kuanzia 32+
Umri wangu 26
Aliye tayari kuanza maisha mapya aje PM
Ahsanteni sana
Message can't be sent in your PM!!!!Have you got the man of your dream?
Hili dili lilinipitaje?Salaam kwenu,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nikiwa na akili timamu kabisa bila kushawishiwa na mtu yeyote, naweka bandiko hili la kutafuta mwanaume ambaye atakuja kuwa mume wangu.
Vigezo:
Awe mchamungu,
Rangi yoyote ila nyeusi itapewa kipaumbele
Asiwe na kitambi
Awe anajitambua kuwa yeye ni mwanaume na autumie vizuri uanaume wake
Elimu yoyote ile [emoji23][emoji23][emoji23]
Sifa za mimi:
Mweusi
Mwembamba
Sina matako makubwa
Elimu ya darasa la saba
Sina mtoto
Umri
Awe na miaka kuanzia 32+
Umri wangu 26
Aliye tayari kuanza maisha mapya aje PM
Ahsanteni sana
Kurengeta mkuuFafanua: Awe anajua kutumia uanaume wake.
Bibie nafasi ilipata mshindi?Hahahahaahahahaha
Kama mama yako angeangalia sifa za mume aliyemtaka, sidhani kama ungezaliwa.Salaam kwenu,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nikiwa na akili timamu kabisa bila kushawishiwa na mtu yeyote, naweka bandiko hili la kutafuta mwanaume ambaye atakuja kuwa mume wangu.
Vigezo:
Awe mchamungu,
Rangi yoyote ila nyeusi itapewa kipaumbele
Asiwe na kitambi
Awe anajitambua kuwa yeye ni mwanaume na autumie vizuri uanaume wake
Elimu yoyote ile [emoji23][emoji23][emoji23]
Sifa za mimi:
Mweusi
Mwembamba
Sina matako makubwa
Elimu ya darasa la saba
Sina mtoto
Umri
Awe na miaka kuanzia 32+
Umri wangu 26
Aliye tayari kuanza maisha mapya aje PM
Ahsanteni sana
Hongera sanaNdio boss
Tangu mwaka jana, ulikuwa serious kweli au ulikuwa kwenye utafiti fulan....kama bado hebu njoo Pm tuyajenge Zesh wangu najua unaweza kuwa ni weweUsijali kipenzi, naendelea kukusanya watu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe nimechekesha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]