Natafuta mume

Natafuta mume

La Saba, mwembamba, alafu na tako huna? Pole yako
 
Salaam kwenu,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nikiwa na akili timamu kabisa bila kushawishiwa na mtu yeyote, naweka bandiko hili la kutafuta mwanaume ambaye atakuja kuwa mume wangu.

Vigezo:

Awe mchamungu,
Rangi yoyote ila nyeusi itapewa kipaumbele
Asiwe na kitambi
Awe anajitambua kuwa yeye ni mwanaume na autumie vizuri uanaume wake
Elimu yoyote ile [emoji23][emoji23][emoji23]

Sifa za mimi:

Mweusi
Mwembamba
Sina matako makubwa
Elimu ya darasa la saba
Sina mtoto

Umri
Awe na miaka kuanzia 32+
Umri wangu 26

Aliye tayari kuanza maisha mapya aje PM

Ahsanteni sana
Message can't be sent in your PM!!!!Have you got the man of your dream?
 
Sasa swali we mzungu au mtanzania kama mimi??? Kama ni mbongo kwanini uandike kingereza wakati post yangu imekuja kwa lugha ya kiswahili???....

Hujaona mahala nimeandika kwamba elimu yangu ni darasa la saba?
Message can't be sent in your PM!!!!Have you got the man of your dream?
 
Salaam kwenu,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nikiwa na akili timamu kabisa bila kushawishiwa na mtu yeyote, naweka bandiko hili la kutafuta mwanaume ambaye atakuja kuwa mume wangu.

Vigezo:

Awe mchamungu,
Rangi yoyote ila nyeusi itapewa kipaumbele
Asiwe na kitambi
Awe anajitambua kuwa yeye ni mwanaume na autumie vizuri uanaume wake
Elimu yoyote ile [emoji23][emoji23][emoji23]

Sifa za mimi:

Mweusi
Mwembamba
Sina matako makubwa
Elimu ya darasa la saba
Sina mtoto

Umri
Awe na miaka kuanzia 32+
Umri wangu 26

Aliye tayari kuanza maisha mapya aje PM

Ahsanteni sana
Hili dili lilinipitaje?
 
Kama mama yako angeangalia sifa za mume aliyemtaka, sidhani kama ungezaliwa.
 
Back
Top Bottom