Natafuta mume

Natafuta mume

Salaam kwenu.,,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nikiwa na akili timamu kabisa bila kushawishiwa na mtu yeyote, naweka bandiko hili la kutafuta mwanaume ambae atakuja kuwa mume wangu.
Vigezo ;
Awe mchamungu,
Rangi yoyote ila nyeusi itapewa kipaumbele,
Asiwe na kitambi,
Awe anajitambua kuwa yeye ni mwanaume na autumie vizuri uanaume wake,
Elimu yoyote Ile, [emoji23][emoji23][emoji23]

Sifa za mimi:
Mweusi,
Mwembamba,
Sina matako makubwa,
Elimu la saba,
Sina mtoto.

Umri
Awe na miaka kuanzia 32+
Umri wangu 26

Aliye tayari kuanza maisha mapya aje pm

Ahsanteni sana
Uzi bila picha ni sawa na kula ugali na picha ya samaki
 
Awe anajitambua kua yeye Ni Mwanaume na autumie vizuri uwanaume wake hii ndo sifa inayoonyesha kwanini mtu amekwama kabisa kupata mme...

Mara nyingi wanawake wenye tabia za ajabu na dharau wanapenda sana kuitumia hii.

By the way, umekwama wapi wewe [emoji38][emoji38][emoji38].

Wakina Gudume hawaoi kwani[emoji23][emoji23]
 
Kwahiyo wewe hutaki kuutumia uanaume wako ipasavyo?
 
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] Jamani
Nakujua vizuri na mwanamume atakaeingia kichwa kichwa atakuwa anapigwa vitasa vya kila siku.
 
Back
Top Bottom