Natafuta mume

Natafuta mume

Rudisha ndege yetu
Salaam kwenu.,,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nikiwa na akili timamu kabisa bila kushawishiwa na mtu yeyote, naweka bandiko hili la kutafuta mwanaume ambae atakuja kuwa mume wangu.
Vigezo ;
Awe mchamungu,
Rangi yoyote ila nyeusi itapewa kipaumbele,
Asiwe na kitambi,
Awe anajitambua kuwa yeye ni mwanaume na autumie vizuri uanaume wake,
Elimu yoyote Ile, [emoji23][emoji23][emoji23]


Sifa za mimi:
Mweusi,
Mwembamba,
Sina matako makubwa,
Elimu la saba,
Sina mtoto.

Umri
Awe na miaka kuanzia 32+
Umri wangu 26

Aliye tayari kuanza maisha mapya aje pm


Ahsanteni sana
 
Kwa nini usianze kwa kutafuta mchumba, huko kwa mume mbona mbali sana...

Sio desperation kweli hii???
 
Mzee unafeli wapi, ni kiungo kimoja tu kinachotofautisha mwanamume na mwanamke...

Sasa uwezo wa kutumia hicho kiungo ndio kutumia uanaune wako...
Sawasawa
 
Mwanaume atakayekuja kuwa mume...... Ina maana tutaanza kwenye uchumba
Kwa nini usianze kwa kutafuta mchumba, huko kwa mume mbina mbali sana...

Sio desperation kweli hii???
 
Back
Top Bottom