Natafuta mume

Natafuta mume

Salaam kwenu.,,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nikiwa na akili timamu kabisa bila kushawishiwa na mtu yeyote, naweka bandiko hili la kutafuta mwanaume ambae atakuja kuwa mume wangu.
Vigezo ;
Awe mchamungu,
Rangi yoyote ila nyeusi itapewa kipaumbele,
Asiwe na kitambi,
Awe anajitambua kuwa yeye ni mwanaume na autumie vizuri uanaume wake,
Elimu yoyote Ile, [emoji23][emoji23][emoji23]

Sifa za mimi:
Mweusi,
Mwembamba,
Sina matako makubwa,
Elimu la saba,
Sina mtoto.

Umri
Awe na miaka kuanzia 32+
Umri wangu 26

Aliye tayari kuanza maisha mapya aje pm

Ahsanteni sana
Okey fanya choice kwa yeyote atakae comment uzi huu
 
Umesahau kutuwekea dini hapo. Nataka nitume maombi haraka sana.
 
Hii id siku zote najua ni ya mwanaume mpenda stori na mabinti. Anyway umri umenitoa knockout.
 
Hauna matako afu unataka asiekua na kitambi!! Ushakosa mume mapaka apa.

Back
Top Bottom