Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hahahaha, we ndio mke mkubwa ,lkn naona umenisusa kabisaInamaana mimi hunitaki tena? Ndo kusema ulinichezea tu?[emoji848][emoji2358][emoji24]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha, we ndio mke mkubwa ,lkn naona umenisusa kabisaInamaana mimi hunitaki tena? Ndo kusema ulinichezea tu?[emoji848][emoji2358][emoji24]
Mjini kwann ,porini ndio kila kitu , njoo porini ujivinjari[emoji23][emoji23][emoji23] hamia mjini ..tutaishi wote
NishawishiMjini kwann ,porini ndio kila kitu , njoo porini ujivinjari
Hahahaha,unatakiwa ukubali kwa hiari kuja kuishi huku poriniNishawishi
Ngoja nifikirieHahahaha,unatakiwa ukubali kwa hiari kuja kuishi huku porini
Kama uko serious nakutakia kheri kipenzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jamani
Huwa wanasemaga, ngoja ngoja .....Ngoja nifikirie
Ila kweli hauko serious[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jamani
Kwa mwendo huu wa uke wenza nitaachaje kukususa? Tena ngoja nami niandae bandiko la kusaka mume hapa jukwaani ili nifunge ukurasa wangu na wewe!😉Hahahaha, we ndio mke mkubwa ,lkn naona umenisusa kabisa
Hahaha usinikatishe tamaa banaHuwa wanasemaga, ngoja ngoja .....
kani wenzio wanayapataga wapiTaratibu tako nimelipata wapi mie mkuu?
usimfanyie ivyo jamani.. mwanaume yupo busy na shughuli za porini msamehe bureKwa mwendo huu wa uke wenza nitaachaje kukususa? Tena ngoja nami niandae bandiko la kusaka mume hapa jukwaani ili nifunge ukurasa wangu na wewe![emoji6]
Yuko busy? Mbona muda wa kukushawishi ukaishi nae porini anao?usimfanyie ivyo jamani.. mwanaume yupo busy na shughuli za porini msamehe bure
Usifanye hivyo,ujue tumetoka mbaliKwa mwendo huu wa uke wenza nitaachaje kukususa? Tena ngoja nami niandae bandiko la kusaka mume hapa jukwaani ili nifunge ukurasa wangu na wewe![emoji6]
Ewaaa,swadaktausimfanyie ivyo jamani.. mwanaume yupo busy na shughuli za porini msamehe bure
OoooohYuko busy? Mbona muda wa kukushawishi ukaishi nae porini anao?
Hahahaha ,shauri yako,we chelewa chelewa ukute Mwana si wakoHahaha usinikatishe tamaa bana