Natafuta mume

Natafuta mume

[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] Nilikwambia tatizo lako kuu ni hasira. Ona sasa ushaharibu.
Mamy [emoji29][emoji29][emoji29][emoji29][emoji29][emoji29] hata usinitakie kheri, huu uzi umeleta tafran kubwa mno
 
Natafuta mke
Sifa zangu
Ni mchamungu,
Rangi yangu n i mweusi
Sina kitambi,
Ninajitambua kuwa mimi ni mwanaume na najua kuutumia vizuri uanaume wangu,

Sifa za mke nimtakae

Mweusi,
Mwembamba,
Asiye na matako makubwa,
Elimu la saba,
Asiye na mtoto.


Huu uzi nadhani ufungwe lengo la mleta mada nishalitimiza.
Kumbe penzi lenu lilianzia hapa!

Hongereni sana jamani, nawaombea mnoo muwowane sasa
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] Nilikwambia tatizo lako kuu ni hasira. Ona sasa ushaharibu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tehe tehe amegundua siku hizi mahimu ya chuo na life fake zao tunayakimbia.La saba kaona wanaolewa yeye na Batchelor of arts in KIDUNGA anazidi kuzeekea nyumbani kwao.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
La saba unaandika vizuri hivyo mmh Acha uongo ni mbaya
 
Back
Top Bottom