Benaya-
JF-Expert Member
- Jul 31, 2019
- 4,415
- 7,631
Daaah, haya bhanaThubutuuuuu hahahahahaha
Ngoja nijaribu kqingine
Miss Reneee
Vp jmn huhitaji mume?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaah, haya bhanaThubutuuuuu hahahahahaha
Aisee...mwenye uzi ana nyota ya aries (14 april),...kwa mwanaume wa nyota ya simba huyu ni mke bora sana aseeee
Kwenye huu usaili nakosa sofa Moja kitambi.....Salaam kwenu,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nikiwa na akili timamu kabisa bila kushawishiwa na mtu yeyote, naweka bandiko hili la kutafuta mwanaume ambaye atakuja kuwa mume wangu.
Vigezo:
Awe mchamungu,
Rangi yoyote ila nyeusi itapewa kipaumbele
Asiwe na kitambi
Awe anajitambua kuwa yeye ni mwanaume na autumie vizuri uanaume wake
Elimu yoyote ile [emoji23][emoji23][emoji23]
Sifa za mimi:
Mweusi
Mwembamba
Sina matako makubwa
Elimu ya darasa la saba
Sina mtoto
Umri
Awe na miaka kuanzia 32+
Umri wangu 26
Aliye tayari kuanza maisha mapya aje PM
Ahsanteni sana
Hujasoma vizuri ameweka umri.Hujaweka Umri wako... na umri wa umtakae