Wood Stone
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 647
- 1,012
Acha kuoa mwanamke anayekuzidi umri kwasababu utakuwa gumzo kila sehemu unayopita naye.Mi nina kazi zangu za kujikimu kila siku. Natafuta mke, ila sifa yako ya miaka mi nko nje sijafika 28... Unanifikiriaje??
acheni kujidanganya! wanaume wamejaa teleMbona unashangaa Dada Leti? Wewe huna shida ya kutafuta? Kumbuka wanaume tuko wachache! Wahi mapema, nafasi ni chache.
Duu unataka kukagua mpaka kaburi mkuu!
Wasiwasi ndiyo akili..Unaogopa mwamba atakuja kuchukua chombo chake ukikipendezesha upya eeeeeeh
Mechi kabla haijaanza yeye ameshafunga moja halafu wewe ni 0 ha haMiaka 25 ....... Mcha Mungu..........Mtoto mmoja..........
...................????????????
Nakubali.Acha kuoa mwanamke anayekuzidi umri kwasababu utakuwa gumzo kila sehemu unayopita naye.
Hahahaha!! Nimekuelewa sana mkuu ktk haya maandishi yakoMiaka 25 ....... Mcha Mungu..........Mtoto mmoja..........
...................????????????