Natafuta mume

Natafuta mume

Habari za muda huu wapendwa! Niende moja kwa moja kwenye dhumuni langu, nipo hapa kutafuta mume yaani mwanaume ambaye tutaanza nae urafiki kisha mahusiano Mungu akijalia tuwe mume na mke
SIFA ZANGU
maji ya kunde
Sio mnene yani mwembamba kiasi
Miaka 25
Nina mtoto mmoja
Mjasiriamali
Mcha Mungu
Mkristo
SIFA ZA NINAE MTAKA
Awe mkristo
Muajiriwa ama kajiajiri
Mcha Mungu
Miaka 28 mpka 40
Asiwe mnene sanaaa
Mengine zaidi tutajulishana PM
Karibuni
ASAP
Nina 42 siwezi kupata upendeleo maalum
 
Si tutahudhuria wote Kigori wangu kwenye harusi ya Irene? 😉Nitatokelezea na ile suti yangu na ww utavaa lile gauni lako ninalolipendaga huwa linakupendeza sana.
 
Kama katangulia mbele ya haki ,yeye hapaswi kuwa na mwenza mwingine?
Hapo sasa inategemeana na viapo vya ndoa yao pamoja na dini, kama ilitoa idhini hiyo basi ni faida kwake.
 
Si tutahudhuria wote Kigori wangu kwenye harusi ya Irene? [emoji6]Nitatokelezea na ile suti yangu na ww utavaa lile gauni lako ninalolipendaga huwa linakupendeza sana.
Sawa handsome!
Tumuombee Mungu apate Mume bora!
 
Mi nina kazi zangu za kujikimu kila siku. Natafuta mke, ila sifa yako ya miaka mi nko nje sijafika 28... Unanifikiriaje??
 
Back
Top Bottom