Natafuta mume

Natafuta mume

Habari zenu wapendwa,

Samahani kwa kuwapotezea wakati, Niko hapa kutafuta mume kwa mwanaume aliyeserious tuanzishe mahusiano baada Mungu akipenda tufike hatua ya ndoa.

Sifa zangu;
Umri: 31
Watoto: 1
Kimo: sio mrefu sio mfupi
Rangi: Maji ya kunde
Uzito: 73 kgs
Elimu: College
Kazi: muajiriwa

Sifa za ninaemtaka
Umri: 33-40s
Kimo: Asiwe mfupi
Rangi: Maji ya kunde / mweusi
Uzito: Asiwe mwembamba Sana
Elimu: form six kuendelea
Kazi: awe na shughuli yoyote ya kumuingizia kipato
Mimi mwembamba lakin we mbamba siyo kilema

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Dah! Elimu imeniangusha kupata mke

Sasa hii la saba nitapata mke kweli!
 
Sifa niliyokosa hapo ni elimu, lakini mamiloo ukikubali kuolewa na Mimi wazazi wako watarukaruka siku wakiniona na kusema tupate wapi tena mkwe kama huyu.
 
Njoo hapa hapa tuyajenge au weka no,yako nikubigie, ila mm niko kijijini huku tanga kunasehemu inaitwa mabokweni njia ya horohoro,stanii.
 
Habari zenu wapendwa,

Samahani kwa kuwapotezea wakati, Niko hapa kutafuta mume kwa mwanaume aliyeserious tuanzishe mahusiano baada Mungu akipenda tufike hatua ya ndoa.

Sifa zangu;
Umri: 31
Watoto: 1
Kimo: sio mrefu sio mfupi
Rangi: Maji ya kunde
Uzito: 73 kgs
Elimu: College
Kazi: muajiriwa

Sifa za ninaemtaka
Umri: 33-40s
Kimo: Asiwe mfupi
Rangi: Maji ya kunde / mweusi
Uzito: Asiwe mwembamba Sana
Elimu: form six kuendelea
Kazi: awe na shughuli yoyote ya kumuingizia kipato
Tafuta wa kumlipia ada na umtafutie kazi ndo akuoe
 
Pambana mama..

Ukitakwa ukalinga,utakuja taka ukazinga...
 
Wengi wanauliza kuhusu baba wa mtoto[emoji849][emoji849][emoji849]eh!
 
Back
Top Bottom