Natafuta mume

Kila la heri marapaula

Mungu akatimize hitaji la moyo wako!
 
Umri upi hasa unamaanisha sisi wacheza mpira tuna umri wa aina mbili halisi na wa kazini.
 
Weka picha yako tafadhali, ukiambatanisha na cheti cha kuzaliwa!!
 
Wewe ni Mngindo?
 
Kama upo serious nitumie DM picha yako full na namba yako ya simu
 
Hapo kwenye asiwe mfupi...kumenifanya nisikitike sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…