Utaonyeshwa lolote tu.. kwani utafukua?!!!Nataka kuona Kaburi la Baba wa mtoto kwanzaaa...!!
Huyu mtoa mada ana tatizo la dharau akijilekebisha ataolewa mapema sanaAcha mbwe mbwe
Huyu haoni kilomita zimesoma namshangaa wadogo wa umri wake wana watoto tayari.Huyu mtoa mada ana tatizo la dharau akijilekebisha ataolewa mapema sana
Nipo ila sio mweusi, pia nikitaka kujua baba mwenye mtoto yuko hai?
Mkuu hawa wasimbe mala zote wanajihesabiaga haki sana na wanahisi wamefika hapo kwasababu wanaonewa ila wengi wanadharau na vibuli ambavyo havivumiliki kwa mwanaume yoyote ona hapo juu eti asiwe mfupi mala asiwe mdogo kuliko yeye ila all in all avumilie atampata soonHuyu haoni kilomita zimesoma namshangaa wadogo wa umri wake wana watoto tayari.
Hawezi pata mwanaume anayeeleweka, atapata mwanaume mwoga wa kumburuza buruza tu, hata akiombwa game huyu hawezi kutoa mpaka ajisikie na tena huyo mwanaume hawezi furahia chochote.Mkuu hawa wasimbe mala zote wanajihesabiaga haki sana na wanahisi wamefika hapo kwasababu wanaonewa ila wengi wanadharau na vibuli ambavyo havivumiliki kwa mwanaume yoyote ona hapo juu eti asiwe mfupi mala asiwe mdogo kuliko yeye ila all in all avumilie atampata soon
Wasimbe kiukweli wajitafakari sana viburi na zarau zao ndio zinawafelishaHawezi pata mwanaume anayeeleweka, atapata mwanaume mwoga wa kumburuza buruza tu, hata akiombwa game huyu hawezi kutoa mpaka ajisikie na tena huyo mwanaume hawezi furahia chochote.
Wasimbe kiukweli wajitafakari sana viburi na zarau zao ndio zinawafelisha
Asante mtafute mzazi mwenzako muoaneHabari zenu wapendwa,
Samahani kwa kuwapotezea wakati, Niko hapa kutafuta mume kwa mwanaume aliyeserious tuanzishe mahusiano baada Mungu akipenda tufike hatua ya ndoa.
Sifa zangu;
Umri: 31
Watoto: 1
Kimo: sio mrefu sio mfupi
Rangi: Maji ya kunde
Uzito: 73 kgs
Elimu: College
Kazi: muajiriwa
Sifa za ninaemtaka
Umri: 33-40s
Kimo: Asiwe mfupi
Rangi: Maji ya kunde / mweusi
Uzito: Asiwe mwembamba Sana
Elimu: form six kuendelea
Kazi: awe na shughuli yoyote ya kumuingizia kipato