Vipi kuhusu weweWe bik[emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dada kuna miamba miwili ukiona imekuja pm kimbiiiia kabisa
1 @Zero IQ
2 @rikiboy
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tuwasiliane nami niko DarHabari
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 35. Ni mkristo, naishi Dar.
Natafuta mume wa kunioa.
Kwa aliye serious karibu PM.
Hivi tumefikia huku🤔!?Habari
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 35. Ni mkristo, naishi Dar.
Natafuta mume wa kunioa.
Kwa aliye serious karibu PM.
ye kigezo chake uwe unapumua tu, na mtalimbo uwe fit kwa kaz bas!jieleze vizuri tukujue
*elimu yako
*kabila
*umeajiliwa au kujiajili
*unataka mwanaume wa aina gan mwenye ajira , mrefu ama mfupi
na mengimeyo ya muhimu ili kuepuka usumbufu nikija PM
ni hayo tu.