Natafuta Mume

Natafuta Mume

Miaka yangu 29
Makazi Pwani
Muislam


Nimtakaye
Awe kuanzia na miaka 31
Awe na kazi
Muislam
Atokee Mkoa ya karibu na Pwani au Pwani.

NB:Awe tayari kuoa kabla ya mwaka huu kuisha kama tukiridhiana,Insha' Allah.
Una watoto/mtoto?
 
Hata leo uko tayari?
Miaka yangu 29
Makazi Pwani
Muislam


Nimtakaye
Awe kuanzia na miaka 31
Awe na kazi
Muislam
Atokee Mkoa ya karibu na Pwani au Pwani.

NB: Awe tayari kuoa kabla ya mwaka huu kuisha kama tukiridhiana,Insha' Allah.
 
Dah we dada sitasahau nilikupenda Sana lakini ulikuwa unaringa Sana pale mtaani enzi hizo tuko kule muheza miaka ya 2012 hivi nahisi ulikuwa in your early twenties ....Dah nilikuwa Na mpango wa kukuwowa kabisa, bathi Tu ukantolea nje

Shaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom