Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 9,266
- 7,426
Mungu akupe haja ya moyo wako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe jimbo lipo wapi....ngoja nijipengeze ingawa sina hela🤣🤣🤣🤣🤣Kila la kheri
Ukipata wawili pasia Mimi moja
😂😂😂😂Karibu😜..uwe tu mchakarikaji hata Kama kidogo tutakikuza pamoja kupata kikubwa🤣🤣🤣🤣🤣Kumbe jimbo lipo wapi....ngoja nijipengeze ingawa sina hela🤣🤣🤣🤣🤣
Haya sasa ndio maneno ebu njoo pm tuanze safari yetu ya ndoa😂😂😂😂Karibu😜..uwe tu mchakarikaji hata Kama kidogo tutakikuza pamoja kupata kikubwa🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nakusubiri pm..Haya sasa ndio maneno ebu njoo pm tuanze safari yetu ya ndoa
Acha bwanaNaweza kuoneshwa kaburi la mzaz mwenzako?
If YES.
Njoo pm
hahaaaaKila la kheri
Ukipata wawili pasia Mimi moja
Karibu pmNaishi dar
Mkatoriki
28 age
Nina mtoto 1
Nimwajiriwa
niko serous nahitaji baba wa familia hata kama sipo najua wanangu wako mahala salama
Kwaresma njema.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Kila la kheri
Ukipata wawili pasia Mimi moja
Wawooh!!!...huu mwaka sijaolewa basi nikadumbukie tu baharini kwakweliKanipasia mimi kwako 😋