ndugu yangu haya mambo hayana formula kabisaaaaaaaaa, ndio mana unaweza date mtu hata miaka 10 akaja kukuacha akaoa/kuolewa na mtu aliemjua ndani ya mwaka mmojaHao serious ashindwe kuwapata huko duniani ambapo wanamuona aje kuwapata hapa cyberspace kweli
Sii ujinga wako mwenyewe miaka kumi unadate na mtu wee una akili matope?ndugu yangu haya mambo hayana formula kabisaaaaaaaaa, ndio mana unaweza date mtu hata miaka 10 akaja kukuacha akaoa/kuolewa na mtu aliemjua ndani ya mwaka mmoja
point ni kwamba haya mambo hayana formula mume/mke anapatikana popoteSii ujinga wako mwenyewe miaka kumi unadate na mtu wee una akili matope?
Mwanamke mwenye tabia njema na ni wife material hakai sokoni muda mrefu anakuwa kashaolewa huo ndio ukweli. Ukiona una date na mwanaume miaka ujue kuna sehemu haupo sawa
Sawa basi asikasirike akiulizwa kama tako lipopoint ni kwamba haya mambo hayana formula mume/mke anapatikana popote
nimechelewa kidogo, vip Bado Kuna nafasi?Awe na
miaka 28...36
Mkaz wa Dar
Christian
Urefu asifike fut 6
Mengine tutawasiliana pm.
Mimi nna miaka 28 ni diploma holder.
Nimejiajiri ni mbena wa Iringa. Naishi Dar Mbezi.
Wabena sio wababe tutake radhi[emoji51][emoji3][emoji16][emoji849] Majibu yako yanaonyesha ubabe wa wabena. Upate hitaji la moyo wako.
Watu mnakuaga na roho mbaya sana. Yani leo sisi akina "shoti" tumekumbukwa, mnaanza kutuharibia.umeweka maximum urefu hujaweka minimum au muhimu asifike futi 6 tu?
Kumbe mnaendaga kweli PMπ π π π πZamani ndo nilikuwa napaparikia nyuzi za hivi kwa kukimbilia pm!!
Nilipogundua ni uduanzi mnatulea saiz Hata sishtuki.
Mtu unaleta uzi, mtu akija huko pm eidha usijibu au ulete maringo!
Huo si ni UDUANZI
Huwa wana angalia idadi ya men watao mfata pm.Na kujitathimini nyota zao.Wengi hawamanishi.Zamani ndo nilikuwa napaparikia nyuzi za hivi kwa kukimbilia pm!!
Nilipogundua ni uduanzi mnatulea saiz Hata sishtuki.
Mtu unaleta uzi, mtu akija huko pm eidha usijibu au ulete maringo!
Huo si ni UDUANZI
Tena wengine unakuta ni wake za Watu tena wengi wa Mama wa Nyumbani Wana test mitambo Kama bado wapo makertable!!!!Huwa wana angalia idadi ya men watao mfata pm.Na kujitathimini nyota zao.Wengi hawamanishi.
Kabisaa... Halafu baada ya muda flani kupita,ukimtafuta ana kwambia tayari alisha pata.Tena wengine unakuta ni wake za Watu tena wengi wa Mama wa Nyumbani Wana test mitambo Kama bado wapo makertable!!!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
[emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kabisaa... Halafu baada ya muda flani kupita,ukimtafuta ana kwambia tayari alisha pata.