mrsleo
JF-Expert Member
- Jan 13, 2014
- 2,588
- 3,877
ndugu yangu haya mambo hayana formula kabisaaaaaaaaa, ndio mana unaweza date mtu hata miaka 10 akaja kukuacha akaoa/kuolewa na mtu aliemjua ndani ya mwaka mmojaHao serious ashindwe kuwapata huko duniani ambapo wanamuona aje kuwapata hapa cyberspace kweli