Mbona kama msemaji wa makoloAisee nina miaka 19 [emoji41] je siwezi kua wako ???? Wa maisha nipo nimeajiriwa tangu 2018 sekta binafsi ni supervisor wa mradi fulani...... So njoo pm mengine utayapataView attachment 2276270
Uliyenaye akichepuka, utaendelea kumpenda?Mwanamke akiwa na mtoto usithubitu kabisa Wana dharau ugomvi kidogo anajifanya anapost mwanae kwamba mtoto ndo kila kitu
Demu nikimpenda nikijua ana mimba tu ya msela mwingine siwezi mpenda mpaka nakufa
Wazee wa Pro Choice mnazingua kinyama.Wangeleta humu ningewashauri[emoji23]
Huyo wa kidato cha 6 akienda chuo, madogo wanamgombania kama mpira wa kona.Mungu akujalie upate mtu atakayekupenda na mwanao. Ila kama unaona kuna hata kanukta ka moyo wako kapo kwa baba mtoto wako tafadhali futa haraka sana hii thread maana itakuwa usumbufu kwa kijana wa watu ambaye hana hatia yoyote. Single mama wa nyakati hizi wengi wenu mmekuwa wapuuzi mno. Mimi nilitaka kuoa single Mama kama mara mbili hivi ila nikaishia kupata maumivu tu kwasababu mijamaa iliyowazalisha muda wowote anaweza chafua hali ya hewa. Sasa hivi nimetulia nasubiri hawa walioko kidato cha sita sasa hivi wakimaliza chuo ndo nioe mmojawapo.
Sure inatokea kweli mkuu..wanakua desperate sanaHivi hii huwa inatokea kweli ?
Mimi niko 44 Nimeoa single mama Nikaongeza na wangu 2 ,kama hutojali njoo huku kwenye dini ya haki ili nikufanye mke mdogo. Ila sina kazi wala nyumba naishi kwa mke mkubwa so kama nawe una makazi yakonicheck tuyajenge kiutu uzimaNatafuta mwanaume serious ambaye atakuja Kua mume wangu ndoa awe na umr kuanzia miaka 33 nakuendelea awe mkristo dheebu lolote.
Umri wangu ni miaka 33 mjasiriamali na nina mtoto mmoja. Kama upo serious njoo PM mengine tutaelezana uko.
natafuta mwanamke umri kuanzia miaka 25-28Natafuta mwanaume serious ambaye atakuja Kua mume wangu ndoa awe na umr kuanzia miaka 33 nakuendelea awe mkristo dheebu lolote.
Umri wangu ni miaka 33 mjasiriamali na nina mtoto mmoja. Kama upo serious njoo PM mengine tutaelezana uko.
Afu mbona unanipanipa watu wakati nakutaka wewe
financial services naona unamtafuta mume kwa juhudi kubwa pambanaaaaa π€£π€£π€£π€£ naruhusiwa kuja PM.. ?Natafuta mwanaume serious ambaye atakuja Kua mume wangu ndoa awe na umr kuanzia miaka 33 nakuendelea awe mkristo dheebu lolote.
Umri wangu ni miaka 33 mjasiriamali na nina mtoto mmoja. Kama upo serious njoo PM mengine tutaelezana uko.
Unaingia kipindi cha piliKwa kifupi tunasema 1-0 sio
AyseeeeDada mtafute uliyezaa naye akuoe au waoneshe kaburi lake vijana waamue.
Kakudanganya naniHuu umri Wanawake mnakuaga Watulivu sana na tayari Kwa Maisha ya Ndoa.
Mm naita na nakuitaji sana jmn mke wangu mtalajiwaNatafuta mwanaume serious ambaye atakuja Kua mume wangu ndoa awe na umr kuanzia miaka 33 nakuendelea awe mkristo dheebu lolote.
Umri wangu ni miaka 33 mjasiriamali na nina mtoto mmoja. Kama upo serious njoo PM mengine tutaelezana uko.
Nyarusare atakufaa sana nae ana tafuta yuko humu mtafuteeee!! pili Kiranga nae hana mke mpigieNatafuta mwanaume serious ambaye atakuja Kua mume wangu ndoa awe na umr kuanzia miaka 33 nakuendelea awe mkristo dheebu lolote.
Umri wangu ni miaka 33 mjasiriamali na nina mtoto mmoja. Kama upo serious njoo PM mengine tutaelezana uko.
Hapo kwenye mtoto mmoja ni kama umesema unaitaji mfanyakaz lakin awe nauzoefu wa miaka kumi katika makampuni makubwa manneNatafuta mwanaume serious ambaye atakuja Kua mume wangu ndoa awe na umr kuanzia miaka 33 nakuendelea awe mkristo dheebu lolote.
Umri wangu ni miaka 33 mjasiriamali na nina mtoto mmoja. Kama upo serious njoo PM mengine tutaelezana uko.
π π π π π π mbavu sina.nichek hapa ila nipo chini ya hyo miaka na ni jobless kwa sbb boda boda yngu nimeipaki inasubiri matengenezo.
[emoji39] nipo dsm magomeni njoo pm .