Natafuta mume

Vijana wa JF mmekua wa hovyo sana, Dada nakuombea Mungu ajibu haja ya moyo wako
Wale wa Facebook wamehamia huku, wanaiua ile Jf ya GT taratibu huku wakiotesha ya kwao ya watu wa mambo myepesi myepesi, utani mwingi kwenye mambo ya msingi na wavivu wa kusoma article ndefu.
Inabidi tukubali tu yaishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…