Natafuta mume

Natafuta mume

Aisee nina miaka 19 [emoji41] je siwezi kua wako ???? Wa maisha nipo nimeajiriwa tangu 2018 sekta binafsi ni supervisor wa mradi fulani...... So njoo pm mengine utayapata
IMG_20220603_232851.jpg
 
Vijana wa JF mmekua wa hovyo sana, Dada nakuombea Mungu ajibu haja ya moyo wako
Wale wa Facebook wamehamia huku, wanaiua ile Jf ya GT taratibu huku wakiotesha ya kwao ya watu wa mambo myepesi myepesi, utani mwingi kwenye mambo ya msingi na wavivu wa kusoma article ndefu.
Inabidi tukubali tu yaishe.
 
Back
Top Bottom