Natafuta mume

Sio kila single mama ameachwa wengine wameacha kwa kushindwa kuvumilia manyanyaso wa wazazi wenzao

Alafu wanaotukana ukute walizaliwa nje ya ndoa na wazazi wao walikuwa single mama
Kwani aliemvulia nguo na kupanua mapaja kwa huyo mwanaume wa manyanyaso ni nani ?! Si huyo single mother, kumbe hana utashi kamili kwanini akapanue mapaja kwa mwanaume "asie mfahamu vizuri" kama sio umalaya ni nini.
 
Natafuta mwanaume serious ambae atakuja Kua mume wangu WA ndoa awe na umr kuanzia miaka 33 nakuendelea..awe mkristo dheebu lolote .umri wangu NI miaka 33 mjasiriamali na Nina mtoto mmoja...km upo serious njoo pm mengine tutaelezana uko
 
Hakuna kumuonea huruma mwanamke tena hilo wazo jipige kifuani mara tatu sema nafsi yangu nisamehe,hasa hawa singo mama hawa ni wa kuacha dunia iwafundishe.

Uliza alibakwa?hakubakwa kumbe ilikuwaje ni blah blah blahs hana cha maana cha kukwambia yupo jamaa yangu alipigwa tukio na hawa viumbe nusura tumfunge kamba ilikuwa imebaki nusu tu ageuke chizi ameandaa vikao vya harusi Tunduma mchumba kaacha Dar akaona aje kupimisha suit kabisa toka akiwa kwenye bus mwanamke haonyeshi ushirikiano kafika kaenda kwao anaambiwa hapa alihama piga simu haipokelewi mwisho akaambiwa “sikuweza mapenzi ya mbali nimeolewa tayari”.

WtF,siyo yeye tu hata sisi hatukuamini Ila ndo hivyo jamaa akawa amepigwa kitu kizito akiwa ameshafanya vikao vitatu na hela za watu anazo mkononi na kilichomkuta huyo mwanamke hata akifa leo kaburi lake naamini litahadithia.
 
Sio kila single mama ameachwa wengine wameacha kwa kushindwa kuvumilia manyanyaso wa wazazi wenzao

Alafu wanaotukana ukute walizaliwa nje ya ndoa na wazazi wao walikuwa single mama

Dada hivi unadhani nini wanachokikataa wanaume!? Unadhan ni mtoto? Au majukumu?

Hakuna mwanaume anaekimbia au kukwepa majukumu
Na kama yupo bas huyo sio mwanaume kamili
Because....man should face majukumu yake

Tunachokimbia ni.......
 
Sjaona haja ya kumshambulia dada watu.. hamjui anapitia nini au alichopitia.. nyie mna conclude
Alichopitia ndio wanawake wengi wa kileo wanapitia, kwanza kijielimu kilimtia jeuri na mashauzi utadhani anakunya keki "nataka mwanaume jentomeni mwenye pesa na gari, na mrefu, na amejazia na kabila langu na hanywi mapombe, na mkristu, na asiechepuka, na atakaeniletea maua kila nikiamka na asiyeisahau birthday yangu nk

mavigezo msururu hell What the Fuc.k, haya sasa mashauzi yakf wapi ?!
 
Natafuta mwanaume serious ambae atakuja Kua mume wangu WA ndoa awe na umr kuanzia miaka 33 nakuendelea..awe mkristo dheebu lolote .umri wangu NI miaka 33 mjasiriamali na Nina mtoto mmoja...km upo serious njoo pm mengine tutaelezana uko
Kila la heri mummy! Kamwe usijaribu kuwajibu hao wanao kukejeli. Maana lengo lao ni kutaka tu kupima kiwango chako cha uvumilivu, hekima na busara.

Hivyo jitahidi kuwaonesha ni kwa namna gani unastahili kuitwa mke wa mtu.
 
Ni kizazi cha Facebook na insta kilichohamia huku. Wapuuzi kwelikweli. Zamani hii page ilikuwa serious kwelikweli na wengi walipata wenza hapa siyo siku hizi full kukatishana tamaa
Hili jukwaa halina maana tena, bora lifungwe tu.
 
Duuh pole kwa jamaa,ila wanawake wengi ni mashetani sana aisee.
 
Natafuta mwanaume serious ambae atakuja Kua mume wangu WA ndoa awe na umr kuanzia miaka 33 nakuendelea..awe mkristo dheebu lolote .umri wangu NI miaka 33 mjasiriamali na Nina mtoto mmoja...km upo serious njoo pm mengine tutaelezana uko
mm apa nipo tayal ila ninamiaka 26 nichek 0623935516
 
Vijana wana stress hawa, wanazimalizia kwako😅😅
Wapuuze
Mzee siyo wote vijana humu kusema tuna stress wengine ni watu wazima tumeona na tunazidi kuona namna jinsia pinzani inavyozidi kuchanganyikiwa.

Unakuta huyu alikuwa na mtu anampigia mpaka magoti amuowe Ila kwa sababu wakati huo alikuwa kigori na mdau anaonekana hela hatapata leo akampa sh*t walioonekana classic kwa akili yake ndo wakamgeuza single mama then leo yupo aged 33 red light ishawaka anatafuta wa kumvurugia maisha.

Hatutakubali na kijana yeyote JF atakaefanya ujinga wa kuowa hawa watu pamoja na kelele zote tunazopiga humu basi maisha yake yote asije kukaa akasema mbona sikuambiwa.
 
Kila mmoja ana machaguo yake kama nyie mnavotaka mwenye wo wo wo kubwa , mrembo na kila kitu.. tuvumiliane tu bwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…