Natafuta mume

Natafuta mume

Kuoa singo maza wala sio tatizo, tatizo ni baba mzazi wa mtoto akiwa hai.
Sasa si afadhali yeye ana mmoja mm ninawawili na wote babazao wako hai mnatak kusema fyucha husband sipat et [emoji134][emoji134]
 
Ukikosa uje niwe mfariji wako....achana na vijana wa hovyo hapo juu
 
Sasa si afadhali yeye ana mmoja mm ninawawili na wote babazao wako hai mnatak kusema fyucha husband sipat et [emoji134][emoji134]
Unapata ila inatakiwa kwanza ufanye mambo hao baba za watoto wawe six feet under.
 
Amesema ""Nina mtoto mmoja""
Tumuulize baba yake mtoto yuko wapi?

#YNWA
[emoji109][emoji109] kama kafa tuone death certificate kwanza
Baada ya hapo tuonyeshwe kabur
Then tunavunja kabur tufanye forensic analysis tujihakikishie kama ni yeye!!!
Kauli yetu mbiu ni ile ile 'HAKUNA KUOA' ni kupiga kazi kutafuta pesa izi mbususu ni kufuata bei elekezi na kuzichakata double double back to back full stop (in manaras de le buggati de le boss voice)!!! Baada ya hapo #kila mtu ashinde mechi zake!!
#mwanaume anaongozwa kwa akili za kichwa(smartness upstairs) sio akili za kichwa cha chini !!!

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Dada tafuta mbabu mbabu wale wanaovaaga suruali pana na koti la suti, hawanaga mambo mengi. sanasana ukipata mwalimu wa msingi au mbabu mwenye bucha
 
[emoji109][emoji109] kama kafa tuone death certificate kwanza
Baada ya hapo tuonyeshwe kabur
Then tunavunja kabur tufanye forensic analysis tujihakikishie kama ni yeye!!!
Kauli yetu mbiu ni ile ile 'HAKUNA KUOA' ni kupiga kazi kutafuta pesa izi mbususu ni kufuata bei elekezi na kuzichakata double double back to back full stop (in manaras de le buggati de le boss voice)!!! Baada ya hapo #kila mtu ashinde mechi zake!!
#mwanaume anaongozwa kwa akili za kichwa(smartness upstairs) sio akili za kichwa cha chini !!!

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Kunakitu kinaitwa karma unaweza ukapata mtoto wako wa kike.. kunavijana kipindi icho watakuwa na akili za kuchakata tu wasichana...
 
Kunakitu kinaitwa karma lazima utapata mtoto wako wa kike watu watamchakata had arudi nyumbn anachechemea Tena vzuri upate wa kike watatu hivi Yan ni wanachakatwa kwa zamu..maana kunavijana kipindi icho watakuwa na akili km zako ni kuchakatana tu
Ukilea mtoto vizuri, ukamuwezesha akapata pesa zake hawezi kupigwa kuni ovyo. kuzaa zaa ovyo ni malezi mabaya.
 
Aisee nina miaka 19 [emoji41] je siwezi kua wako ???? Wa maisha nipo nimeajiriwa tangu 2018 sekta binafsi ni supervisor wa mradi fulani...... So njoo pm mengine utayapataView attachment 2276270
Wwe ndiyo supervisor wa kuzibuwa mitaro ya maji machafu!? Maana nakuona upo kazini kwako na umepiga na picha ukiwa kwa maji taka! Dada atafurahi sana akimpata mzibua mitaro ya maji taka, maana hata mtaro wake ukiziba tu,mzibuwaji upo!!!
 
Ukilea mtoto vizuri, ukamuwezesha akapata pesa zake hawezi kupigwa kuni ovyo. kuzaa zaa ovyo ni malezi mabaya.
[emoji23][emoji23]kuzaa ovyo hakuna mkuu wakat mnanyanduana hakuna asiejua Kuna kupata mimba
 
Wwe ndiyo supervisor wa kuzibuwa mitaro ya maji machafu!? Maana nakuona upo kazini kwako na umepiga na picha ukiwa kwa maji taka! Dada atafurahi sana akimpata mzibua mitaro ya maji taka, maana hata mtaro wake ukiziba tu,mzibuwaji upo!!!
Mmmh
 
Kila mmoja ana machaguo yake kama nyie mnavotaka mwenye wo wo wo kubwa , mrembo na kila kitu.. tuvumiliane tu bwana
Ni kweli kila mtu ana machaguo yake, ila wanawake mmezidi (hasa wenye vijielimu mbuzi) expectation kibao, vigezo kibao afu unakuta mwanamke mwenyewe shapeless sura kama mjomba wake ila mashauzi utadhani mnakunyaga bagia.

Mnafuatwa na wanaume wenye nia ya kuwaoa mkiwa 21 - 26 ooh "usinipotezee muda nina malengo yangu" haya sasa mnakuja kutujazia severs za jf na manyuzi ya kutafuta mume, nyie mna akili kweli ?! nendeni mkaolewe na malengo yenu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sura ya mjomba Tena Kwan wajomba wamekukosea nn
Mjomba nae ni mama[emoji23]
 
Ni kweli kila mtu ana machaguo yake, ila wanawake mmezidi (hasa wenye vijielimu mbuzi) expectation kibao, vigezo kibao afu unakuta mwanamke mwenyewe shapeless sura kama mjomba wake ila mashauzi utadhani mnakunyaga bagia.

Mnafuatwa na wanaume wenye nia ya kuwaoa mkiwa 21 - 26 ooh "usinipotezee muda nina malengo yangu" haya sasa mnakuja kutujazia severs za jf na manyuzi ya kutafuta mume, nyie mna akili kweli ?! nendeni mkaolewe na malengo yenu.
Kilamtu anabahati yake na kilamtu atapata wke kwa wakat Mungu alompangia na kunawanawake sio utan ni serious Hadi anafikia miaka hta 30 hajawah kukutana na mwanaume akamtakia ndoa ni the way Mungu hakuwapa iyo bahat kunawengine wanakuwa single mama sio kwa kupenda somtym umri umeenda hujaolewa na mtoto huna utasubir uolew ndo uzae na miaka 40 ama tupunguze kuhukumu
 
At this age they are not getting the same amount of male attention they were getting when they were in early 20s.
Vijana kazi kwenu, kwa ushauri, katika huu umri wanakua wapole, kama mkipima yupo safi, chukua mzigo vijana halafu huyu ni pisi ya ukweli.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Dada yangu ni singo maza ana watoto watatu, watoto wote kawazalia home, Bas watoto wanakaa kwa Bibi yao Mwanza jiji Halafu Mimi nakaa kijijini ndo kituo changu Cha kazi kilipo,

Mama umri umeenda namtunza shida nikimtumia hela ya kujikimu na maisha ya mjini yalivyo magumu vyakula Bei juu hela inakuwa haitoshi maana anatumia hizo hela kufanya mahitaji ya wajukuu wake, Mara nguo, viatu wakati mama yao yupo tu Bado mdogo miaka 35 anazurula hajulikani yuko wapi anafanya kazi gani?

Ukiona mtu anapopoa masingo maza humu ujue Kuna kitu,
Pia wanaume waliozaaa na masingo maza halafu hawatunzi watoto wao wanaume hao inatakiwa wafungwe kifungo Cha maisha.
 
Back
Top Bottom