Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
Hapo shida ni mama wa watoto hajitambuiDada yangu ni singo maza ana watoto watatu, watoto wote kawazalia home, Bas watoto wanakaa kwa Bibi yao Mwanza jiji Halafu Mimi nakaa kijijini ndo kituo changu Cha kazi kilipo,
Mama umri umeenda namtunza shida nikimtumia hela ya kujikimu na maisha ya mjini yalivyo magumu vyakula Bei juu hela inakuwa haitoshi maana anatumia hizo hela kufanya mahitaji ya wajukuu wake, Mara nguo, viatu wakati mama yao yupo tu Bado mdogo miaka 35 anazurula hajulikani yuko wapi anafanya kazi gani?
Ukiona mtu anapopoa masingo maza humu ujue Kuna kitu,
Pia wanaume waliozaaa na masingo maza halafu hawatunzi watoto wao wanaume hao inatakiwa wafungwe kifungo Cha maisha.
Lkn pia sidhni km ilikuwa kwa huyu dada kumhukumu kwa makosa ya wengine lkn mseme mkweli wengi wako bright Sana kwasabbu walishafnya makosa hapo mwanzo bas tu ndo ivo