Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Kwema ndugu yangu?Hata mimi nilitaka nimwambie Anko sophy27 arudi kule Selfika.
Ana heshimika...
Bila shaka ameshatusikia...
JF !!![emoji51][emoji51]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwema ndugu yangu?Hata mimi nilitaka nimwambie Anko sophy27 arudi kule Selfika.
Ana heshimika...
Namshukuru Mungu kwema kabisa ndugu yangu, sijui huko Koromije?Kwema ndugu yangu?
Bila shaka ameshatusikia...
JF !!![emoji51][emoji51]
[emoji1787][emoji1787]yani wanaorodhesha tu alafu utasikia I love my mom anasahau alipoandika kilaalozaliwa katokea hapoNamshukuru Mungu kwema kabisa ndugu yangu, sijui huko Koromije?
Akili imechoka, tuingie humu tujiliwaze tunakutana na dharau ya viungo vya mama zetu.
Lkn sidhani km wote na inawezekana wengi wanajuta Sana kuzaa bila ndoa lkn duh maisha hayako fair nimewaza tu anavojisikia huyu dada
Mmh ngumu kumeza aiseeMaisha hayako fair kabisa dear
Sana sana,na sisi wanaume ndio chanzo 1
2 wadada wanatamani sana
Na hapa ukubal ukatae ndio chanzo cha ongezeko hili
Mfano kuna dada mmja nliwah kua na mahusiano nae....akawa amenmby anataka kuzaa nkamwambia siko okey this time....Ngoja kidogo tu set afu itakua pow....akajib sawa kumbe kwa unyonge
Kaingia sehemu nyingine kumbe jamaa ana mke wake na kashampiga mimba....
Nowadays hanisalimii sababu alitaka nirudiane nae wakat hata hajajifungua kanichukia
Hapa utalaum vip dada?
Ukumbi wa send off umekua kambi ya milipupo kama tuko Kyv UkraineWET shit gone STONE...
Bidada Futa uzi tu,,,hakuna Mume utapata humu.
Mkuu hata mimi ndio nilikua nashangazwa hapo. Afu walivyo anaona yeye ndio anaonewa na wanaume ni jukumu letu kumuonea huruma.Aende zake huko azalishwe na mwengine aje kutafuta mume hapa na machirizi yake ya uzazi na kovu la mshono.
Sana yaani wanaumiza watu mno[emoji24]Too much hateful and negative comments. guys tujitahidi kuwa na kiasi kwa maneno. Wewe unaeza sema easy kumbe behind keyboard someone is hurting inside
Sure jf men are shit as hell but not stupid.Watoto ni baraka 🥰 vipi wale mliowanywesha ma P2 who’s better??
Jf men are shit like hell
Haa ha ha umeua mkuu. Vigezo unavyo na hauendi PM.We huna wakubwa huko kwenu, alaa!! huna kanisa unalo sali alaa! huna majirani weye alaa!! xx basi kwa taarfa yako vigezo ninavyo lkn siji PM n'goo
Ni majanga mkuu mechi inaanza 1 - 0 alafu wanasupaa tukubaliane nao. AiseMadhara ya ile Nofap challenge yameanza kuonekana mtaani😂
Timu ndo kwanza ziko uwanjani zinafanya warm-up, lakini scoreboard inasoma 1-0.
Wewe uliona wapi??
🤔
its fine, but haina haja ya ku-spread negative commentsSure jf men are shit as hell but not stupid.
Ukiwa ndotoni unaota upo choon unataka kukojoa ' USIKOJOE' ni mtego utanishukuru baadae(in late JPM's voice)!!Kuna single maza alikua anataka kweli nimuoe akadai hata baba yake mzazi anadai eti mimi ndio namfaa.
Hakuna mwanaume mwenye akili timamu ataenda kuoa single mother wakati mabinti wabichi wamejaa tele mitaani. Ni wanaume magoi goi simps wataoa hao single mothersJamaa kapiga kapita mpaka umzalie kashindwa kukuoa then utafute mwingine si dharau izo aliyekuzalisha kama yupo hai mfuate akuoe
Mi sumu yangu mwanamke akiwa na mtoto hata awe malaika hata kutongoza sisogei