Natafuta mume

Natafuta mume

Natafuta mwanaume serious ambae atakuja Kua mume wangu WA ndoa awe na umr kuanzia miaka 33 nakuendelea..awe mkristo dheebu lolote .umri wangu NI miaka 33 mjasiriamali na Nina mtoto mmoja...km upo serious njoo pm mengine tutaelezana uko
Kwa kabila letu sisi tukioa mwenye mtoto tunamiliki na mtoto kwako ikoje
Utakuwa unapeleka mtoi kumsalimia baba ake au baba ake atakuja kusalimia mtoi?
naomba majibu
 
au waoneshe kaburi lake vijana waamue.
Hii itamsaidia sana!

Mleta mada ushauri huu utakufaa nenda kaombe kwao kama alishakufa kweli wakupe death certificate yake umuonyeshe atakayejitokeza maana mimi namshauri kama atapitia post yangu kwamba hata kama utamuonyesha kaburi bila cheti original cha kifo cha aliyekuzalisha asithubutu hata kukusogelea.
 
Mimi nakuombea upate mume na maisha yaendelee usiangalie comments za vijana wao wanajua waliyopitia kuhusu wadada kwa hiyo wakiona hivi ni furaha na kejeri kwao...take easy utapata tuu mume na maisha yataendelea...ila humu uwe makini na wahuni wengine sio waoaji wakipita tuu anakuacha bila sababu unakuja na uzi mpya na ID ingine wa kutafuta mume tena...Mtangulize Mungu kwa kila jambo utafanikiwa iwe leo au kesho...
 
Natafuta mwanaume serious ambae atakuja Kua mume wangu WA ndoa awe na umr kuanzia miaka 33 nakuendelea..awe mkristo dheebu lolote .umri wangu NI miaka 33 mjasiriamali na Nina mtoto mmoja...km upo serious njoo pm mengine tutaelezana uko
Weka sifa zako kwa ufasaha
 
Vijana wa JF mmekua wa hovyo sana, Dada nakuombea Mungu ajibu haja ya moyo wako
Tatizo sio vijana wa Jf,tatizo ni kwa muombaji,wengi wanategemea kuongea mengi PM,lakini kumvuta mtu kwenda PM hawawezi,maelezo ni shallow sana na hayavutii.Alafu binafsi huwa nachukia sana love connect,asimilia kubwa ya wanaotuma maombi ni wanawake ambao unakuja kupata hisia ya kumuonea huruma badala ya kumpenda.
 
Natafuta mwanaume serious ambae atakuja Kua mume wangu WA ndoa awe na umr kuanzia miaka 33 nakuendelea..awe mkristo dheebu lolote .umri wangu NI miaka 33 mjasiriamali na Nina mtoto mmoja...km upo serious njoo pm mengine tutaelezana uko
Sasa hivi hautaki mrefu, mwenye pesa na magari, eti hautaki tena "jentomeni" ulidhadhani utakua binti siku zote ?! Mashauzi yamekwisha sio ?!! Uliwaacha wanaume bora ukidhani utampata "jentomeni" sasa unaelekea uzee na uliowakataa wamezitafuta wamekua "majentomeni" na WAMESHAOA.
 
Back
Top Bottom