Natafuta mume

Ninampongeza aliyeshinda hili shindano
 
Unatafuta mme mkristo wakati unajitambulisha kwa lugha za "wajomba"[emoji28][emoji28][emoji16]
 
Unatafuta mme mkristo wakati unajitambulisha kwa lugha za "wajomba"[emoji28][emoji28][emoji16]
 
SweetCandy aka Fetty, ulimpata!?
 
mimi mbeba tofari nafanyq kaz za nguvu kwa ngvu je utanipenda?
 
Fetty unaonekana mzuri.

Ila ngoja kwanza tuwashtue wenye uhitaji
Mzee wa Njunju njoo huku Dada Fetty anataka Mume
Asante sana ndgu kwa kujali sana. Nimeshamuandikia wacha tuone kama atakubaliana na hali halisi maana mimi hela sina ila nina upendo wa kweli sana na kulala njaa hatolala kabisa namuahidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…