Natafuta mume

Tatizo tukija mnaanza maswali ya kitoto badala ya kutuachia tunda tupime kina na mvuto wa nyonyo!
 
Kwanini huwezi kutulia tu ukajieleza vizuri ukaeleweka mbona unaandika Kama unakimbizwa vile?

Anyways,kila la heri zako.
 
Umesahau kuandika umri wako, Pili hivi heshima ni IPI hiyo huwa mnaiongelea na matunzo unamaanisha matunzo yepi?
Heshima ni kitu ambacho unakuwa namipaka nauelewa huyu ni mtu wa muhimu kwangu so yale mazoea mabaya unatakiwa uache umenielewa uwe mwanaume unayejitambua madhani umenielewa
 
Njoo pm kama bado hujapata ila uweke akilini kabisa kuwa ntakuomba Mbususu kabla ya chochote kufanyika.
 
Ukiwa tayari nicheki nikuunge na ndugu angu..
Yeye umri: 50
Elimu : Mwalimu
Dini :Muslim..
Ukiwa serious lakini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…