Natafuta mume

Omopa

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2022
Posts
335
Reaction score
1,466
Bwana yesu asifiwe!

Wakuu natafuta mume ambae yuko serious kuishi na mie tufunge ndoa tuishi pamoja.

Mimi ni mzaliwa wa kilimanjaro mwaka 1993 mkoani kilimanjaro. Nina Bachelor Degree ya Medicine niliyoipata Chuo cha Muhimbili na pia nina Masters Degree ya Medicine specialise kwa watoto kwa maana Bachelor Degree ya Medicine in Pediatric niliyoipata Chuo Kikuu cha Hilford nchini Marekani. Kwa sasa ninafanya kazi hospitali ya hapo hapo Hilford nchini Marekani.

Sina mtoto wala mimba, natafuta mwanaume yoyote hata akiwa jobless sawa, maana nimechoka kukaa pekee yangu.

Natanguliza shukrani, yoyote ambae yuko seriously ani-PM.
 
Umeanza vizuri,umeharibu uliposema "hata akiwa jobless" hapa umejichanganya huwezi kupata mwanaume wa maisha kama unavohitaji..

NB:MUNGU AKUTIMIZIE HITAJI LAKO
Atapata
 
National Anthem finaly tumefikiwa....mrembo anataka ata jobless cha msinginde libolo linafanya kazi
 
Jioe mwenyewe
 
Zama pm tuyajenge. Nina utajiri wa upendo na uaminifu. Huo ndo utajiri wangu, mengine yanatafutwa

Lakini ngoja kidogo, kweli uwe na masters halafu upate mwanaume jobless uolewe nae?? Umpeleke nyumbani na wazee wanakubali??

Halafu upo Amerika, hiyo ndoa tutqfungaje??

Karibu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…