Natafuta mume

mzabzab power to you
 
Wanavyopenda mteremko na kazi hawana asante kuwapa kazi hapo watajaa pm maana umewahakikishia mteremko.

Huu uzi ni wa mdada kweli?

Uko marekani mamy? Basi huyu mr jobless utamtumia na nauli kila kitu utafanya wewe? Kisa watu wajuwe umeolewa?

Uko marekani si utafute hata ngozi nyeupe huko.?
 
Acha wivu Mkuu mwenzie ataki kuolewa na babu wa kizungu
 
Uzuri anahitaji ambao hatuna kazi 😅 acha tuzame pm sieeeh
 
Mkuu Sema zaidi kuhusu wewe, dini, unapenda nini hupendi nini na je upo tayari kuishi na mwanaume ukamheshimu na kumsikiliza ili yeye akupende kama maandiko yanavyotaka?

Ndoa ni mambo mengi lazima uainishe, sisemi vigezo ila taswira ya maisha ya ndoa unayoyahitaji
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…