Natafuta mume

Rexona

Member
Joined
Jan 9, 2023
Posts
5
Reaction score
28
Habari wana jf,

Mimi ni mwanamke wenye umri wa miaka 33. Mimi ni kibarua tu wa kiwanda fulani. Nimejitokeza jukwaa hili kutafuta life-mate partner ambaye ana uhitaji kama wangu.

Awe na akili timamu na awe shughuli halali. Umri kuanzia 34 na kuendelea, awe muwazi na mkweli. Kwa aliye tayari karibu sana sana M iko wazi.

Asanteni.
 
Kila la Kheri
 
Nikutakie kila lenye kheri mrembo, ila nilichogundua kwenye bandiko lako................

1. Wewe si kibarua. Una kazi yako stable tu
2. Wewe sio mgeni kiviiiiile JF, yawezekana una id nyingine (Sio mbaya lakini)
3. Umesha settle na maisha sasa, ni mtaji kwa atakaekupata

Wazee mchukueni mama huyu mfurahie maisha humu duniani. Maisha ya ndoa sio mabaya kama baadhi ya watu wanavyotuaminisha kila siku, inategemea tu chemistry yenu mnaiweka vipi. Mkijuliana aaaaah maisha ni matamu sana
 
mimi mwenyewe nina huitaji sema sina pesa ila kula utakula pm iko wazi
 
Oh Asante Mungu

Niko PM mke mtarajiwa
 
Umri tu sijafikisha hiyo miaka tungeanza safari salama
 
Unatokea mkoa gani ? Asili yako watu wajue nasaba yako.
 
Mi sijawai amin km mtandaoni unaweza pata mtu sahihi


Km eneo la kazi, mitaa unayokaa, ulikozaliwa umekosa kupata ambako unaona matendo ya wahusika sembuse huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…