Sawa but binadamu yoyote hupimwa kwa matendo yake ya kila siku ....sio anayoyatamka.....point yangu kuu ni kwamba huku mitandaoni utamjuaje huyu mtu ni sahihi na background yakeHao waliopo huko mitaani ndio hao hao waliopo humu JF
JF sio Dunia ya watu wanaoishi kwenye nchi ya peke yao.