Natafuta mume

Natafuta mume

Hao waliopo huko mitaani ndio hao hao waliopo humu JF
JF sio Dunia ya watu wanaoishi kwenye nchi ya peke yao.
Sawa but binadamu yoyote hupimwa kwa matendo yake ya kila siku ....sio anayoyatamka.....point yangu kuu ni kwamba huku mitandaoni utamjuaje huyu mtu ni sahihi na background yake
 
Mi sijawai amin km mtandaoni unaweza pata mtu sahihi

Km eneo la kazi, mitaa unayokaa, ulikozaliwa umekosa kupata ambako unaona matendo ya wahusika sembuse huku
The reason ya watu kukimbilia mtandaoni ni kupata mtu Asie Mjua (yeye mtafutaji) in and out.

Sio kwamba mtaani au maeneo ya kazi hamna ila huko watu wanatujua sana mazoea yamezidi (u serious mdogo sana)

atleast humu mtandaoni ukitafuta mtu mnakutana wote Vibe 1 ila kufikia malengo ndio kipengele kingine.
 
Asante Watu8 😘😘😘nimechagua angalau inayofanana namimi 🙈🙈🙈🙈🙈ile ya mwanzo, ilikuwa tofauti kila kitu namimi nilivyo.
Nasubiri siku na wewe mrembo ukiweka thd ya aina hii hapa JF,
Nitawahi asubuhi na mapema kabla hata Jogoo hajawika.

😎
 
Sasa huoni ni risk hapo kuna risk kubwa maana unatafuta mtu usiyejua background yake na humjui uhalisia wa ndani yupoje

pili..either mtafutaji anashida yeye eneo analokaa washamjua yeye ni mtu wa aina gani

Ila yote...for me kama unataka serious relationship mitandaoni sio sehemu sahihi kwa kutafutia
The reason ya watu kukimbilia mtandaoni ni kupata mtu Asie Mjua (yeye mtafutaji) in and out.

Sio kwamba mtaani au maeneo ya kazi hamna ila huko watu wanatujua sana mazoea yamezidi (u serious mdogo sana)

atleast humu mtandaoni ukitafuta mtu mnakutana wote Vibe 1 ila kufikia malengo ndio kipengele kingine.
 
Sawa but binadamu yoyote hupimwa kwa matendo yake ya kila siku ....sio anayoyatamka.....point yangu kuu ni kwamba huku mitandaoni utamjuaje huyu mtu ni sahihi na background yake
Sasa mkuu unafikiri wataoana hapa hapa JF kwenye hii thd? lazima watakutana na kujuana in and out.
 
Sasa mkuu unafikiri wataoana hapa hapa JF kwenye hii thd? lazima watakutana na kujuana in and out.
Hapo uwezekano wa kudanganya ni mkubwa
Ndio maana mwanaume anapotaka kuoa humfuatilia mwanamke bila yeye kujijua mfuatiliwa hii husaidia kujua tabia halisi ya muhusika

Ndio maana kipindi cha uchumba tabia nyingi mchumba wako anazificha hata km mnadate miaka 5 lakini baada ya ndoa tabia nyingine zinaanza kutokeza

Njia sahihi ya kumjua mtu ni kumspy bila yeye kujua
 
Kwani bado hamjajua huyu ni nani asihe akawaingiza mkenge
 
Back
Top Bottom