Natafuta mume

Options za watafuta wachumba zinazidi kupungua, maana JF vyama kama chaputa na hakuna kuoa vina wanachama wengi sana
 
Hello wapendwa,
Asante kwa positive na negative comments.Naomba kutangaza kwamba uzi nimeufunga rasmi.Nawashukuru
Ubarikiwe sana Rexona kwa moyo wa kushukuru. Positive na negative comments ndio ilivyo ili kubalansi.
 
Mi sijawai amin km mtandaoni unaweza pata mtu sahihi


Km eneo la kazi, mitaa unayokaa, ulikozaliwa umekosa kupata ambako unaona matendo ya wahusika sembuse huku
Yaan mapenzi ni kitu Cha ajabu sana yaan nimeyashuhudia nimejionea Nina shuhuda.....yaan kuisimulia labda Kwa audio.....
Ukimpata a real soul mate yaan mapenzi yata jiendesha yenyewe......

Unaweza kukutana na mtu hujui anapo Kaa, hujui ndugu, mkapendana mpk ukajiuliza kulikoni.....?

Bado nayatafakar na kujiuliza sana mapenzi ni kitu Cha ajabu sana yaan mapenzi ni kitu Gani?
 
Mwanamke akiwa na miaka 33 maana yake kq akiza miaka 12 tu kugegedwa (45 -33= 12).

Lkn mwanaume mwenye umri huo anakuwa kabakiza miaka 47 (80-33=47
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…