Nimesha kuchek PM...πHabari wana JF?
Natafuta mume awe na sifa:
-Mcha Mungu Mkristo(Mkatoliki)
-Umri 35-45
-Amejiajiri/Kuajiriwa
-Elimu angalau degree moja na kuendelea
-Muelewa awe na moyo wa upendo na huruma na mwenye kujua maana ya familia
Kuhusu mimi
-Umri 31years,
-Kabila Mwiraqw(Manyara)
-Nina degree moja
-Nimejiajiri
-Nina mtoto mmoja(baba yake ni marehemu)
pm for a serious man only
Sasa dada hayo ma degree umeweka ya nn? U can't be serious...Habari wana JF?
Natafuta mume awe na sifa:
-Mcha Mungu Mkristo(Mkatoliki)
-Umri 35-45
-Amejiajiri/Kuajiriwa
-Elimu angalau degree moja na kuendelea
-Muelewa awe na moyo wa upendo na huruma na mwenye kujua maana ya familia
Kuhusu mimi
-Umri 31years,
-Kabila Mwiraqw(Manyara)
-Nina degree moja
-Nimejiajiri
-Nina mtoto mmoja(baba yake ni marehemu)
pm for a serious man only
Baba mtoto alifariki kwasababu gani?tuanzie hapa kwanza..Habari wana JF?
Natafuta mume awe na sifa:
-Mcha Mungu Mkristo(Mkatoliki)
-Umri 35-45
-Amejiajiri/Kuajiriwa
-Elimu angalau degree moja na kuendelea
-Muelewa awe na moyo wa upendo na huruma na mwenye kujua maana ya familia
Kuhusu mimi
-Umri 31years,
-Kabila Mwiraqw(Manyara)
-Nina degree moja
-Nimejiajiri
-Nina mtoto mmoja(baba yake ni marehemu)
pm for a serious man only
Degree ni muhimu..kuna instructions kwenye 1 na 2 au 6 kwa 6 zinahitaji uwe na degreeπππSasa dada hayo ma degree umeweka ya nn? U can't be serious...
Haya Kila la kheri
Anaona ndio inayoendesha maisha.Degree moja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
π― mwenye kutafuta na asikieNaked Truth, degree its just piece of paper
Tabia
Kujitambua
Kujua thamani ya mwenza wako
God fearing
Utu
Usafi wa Mwili roho na Matendo
Hard worker
Yaani Mambo Mengi kuyajua sio lazima uwe umesoma au msomi.
Tatizo ni kwamba waTz wenye Degree na kuendelea bado tupo wachache sana..so watu wakiona mtu anaweka kigezo cha Degree wanakasirika maana hawana...rudini darasani HIVYO TUUUππNi sifa zake mkuu kama wewe hujasoma kinachokuuma yeye kujitangaza ana degree ni nini. Kuna watu wanapenda mwanamke aliyesoma wewe unapenda mwanamke asiyeenda shule kila mtu ana choices zake hivo waache w anaomatch naye wataongea naye wee pita kuleeeeeee
Elimu inaniangusha kweli. Itabidi nijiendeleze.Habari wana JF?
Natafuta mume awe na sifa:
-Mcha Mungu Mkristo(Mkatoliki)
-Umri 35-45
-Amejiajiri/Kuajiriwa
-Elimu angalau degree moja na kuendelea
-Muelewa awe na moyo wa upendo na huruma na mwenye kujua maana ya familia
Kuhusu mimi
-Umri 31years,
-Kabila Mwiraqw(Manyara)
-Nina degree moja
-Nimejiajiri
-Nina mtoto mmoja(baba yake ni marehemu)
pm for a serious man only
NakaziaNi sifa zake mkuu kama wewe hujasoma kinachokuuma yeye kujitangaza ana degree ni nini. Kuna watu wanapenda mwanamke aliyesoma wewe unapenda mwanamke asiyeenda shule kila mtu ana choices zake hivo waache w anaomatch naye wataongea naye wee pita kuleeeeeee
Angesema hivyo kua mwenye degree/Master's ni pesa mkononi anytime anaula angeeleweka huyu amelenga Mapesa kwa hio angeongeza kigezo kua awe na Pesa mkononi asije mikono mitupu maana nina mtoto hapa atahitaji kula, kuvaa, kuna kuugua gharama za matibabu & kwenda shule lazima umlipie gharamaHalafu hiyo ya kutaka degree mwajiliwa/kujiajili wanaogopa kusema mwenye pesa hadharani hivyo wanapunguza ukali wa maneno
Mafisi katika ubora wenuNimesha kuchek PM...[emoji39]
SaitaaHabari wana JF?
Natafuta mume awe na sifa:
-Mcha Mungu Mkristo(Mkatoliki)
-Umri 35-45
-Amejiajiri/Kuajiriwa
-Elimu angalau degree moja na kuendelea
-Muelewa awe na moyo wa upendo na huruma na mwenye kujua maana ya familia
Kuhusu mimi
-Umri 31years,
-Kabila Mwiraqw(Manyara)
-Nina degree moja
-Nimejiajiri
-Nina mtoto mmoja(baba yake ni marehemu)
pm for a serious man only
Ndugu mbona makasiriko?Mnadanganyana vibaya sana asee, huko kwenye degree ndio wanakofundisha masuala la uchumba & ndoa au mahusiano au ndio wanapotoa mafunzo ya chumbani jinsi ya kunyanduana, emu acha kua na akili mgando mapenzi hayahusiani na degree/master's, mapenzi ni mapenzi hayapimwi na level ya elimu ya mtu
Nina degree mbili Mzee tusichukuliane POA, yaan wewe unaweza ukawa una kadegree kako ka social science Ila hakajakusaidia kitu maana hujanielewa nimemaanisha nini nnaposema mapenzi sio degree/master's, huwezi kunielewa km hujasoma Chuo ambacho watu wanaoana chuoni wanaishi km mke na mume na Chuo kikiisha na mapenzi yameisha so degree ni Nini kwenye mapenzi ?Msomi ni msomi tu..mtu mwenye Degree karuka viunzi vingi mpaka kuipata..uelewa wake ni mkubwa..
Kapunguza ukali wa maneno sasa ila anataka mwenye hela tu.Angesema hivyo kua mwenye degree/Master's ni pesa mkononi anytime anaula angeeleweka huyu amelenga Mapesa kwa hio angeongeza kigezo kua awe na Pesa mkononi asije mikono mitupu maana nina mtoto hapa atahitaji kula, kuvaa, kuna kuugua gharama za matibabu & kwenda shule lazima umlipie gharama
Kwa nini umesisitiza kwamba baba wa mtoto ni marehemu?Habari wana JF?
Natafuta mume awe na sifa:
-Mcha Mungu Mkristo(Mkatoliki)
-Umri 35-45
-Amejiajiri/Kuajiriwa
-Elimu angalau degree moja na kuendelea
-Muelewa awe na moyo wa upendo na huruma na mwenye kujua maana ya familia
Kuhusu mimi
-Umri 31years,
-Kabila Mwiraqw(Manyara)
-Nina degree moja
-Nimejiajiri
-Nina mtoto mmoja(baba yake ni marehemu)
pm for a serious man only
Safi sana mkuu..rudi darasani haraka..ukishakua na Degree..pesa kidogo tu au kiajira uchwara wewe utaenjoy sana kwenye nchi hii ya Kusadikika..wasomi bado wachache sana hasa Degree na kuendeleaElimu inaniangusha kweli. Itabidi nijiendeleze.
Vigezo vyote ninavyo, na kwama kwenye elimu π€¦