Natafuta Mume

Natafuta Mume

Habari wana JF?
Natafuta mume awe na sifa:
-Mcha Mungu Mkristo(Mkatoliki)
-Umri 35-45
-Amejiajiri/Kuajiriwa
-Elimu angalau degree moja na kuendelea
-Muelewa awe na moyo wa upendo na huruma na mwenye kujua maana ya familia

Kuhusu mimi
-Umri 31years,
-Kabila Mwiraqw(Manyara)
-Nina degree moja
-Nimejiajiri
-Nina mtoto mmoja(baba yake ni marehemu)
pm for a serious man only
Nimesha kuchek PM...😋
 
Sasa dada hayo ma degree umeweka ya nn? U can't be serious...
Haya Kila la kheri
 
Habari wana JF?
Natafuta mume awe na sifa:
-Mcha Mungu Mkristo(Mkatoliki)
-Umri 35-45
-Amejiajiri/Kuajiriwa
-Elimu angalau degree moja na kuendelea
-Muelewa awe na moyo wa upendo na huruma na mwenye kujua maana ya familia

Kuhusu mimi
-Umri 31years,
-Kabila Mwiraqw(Manyara)
-Nina degree moja
-Nimejiajiri
-Nina mtoto mmoja(baba yake ni marehemu)
pm for a serious man only
Baba mtoto alifariki kwasababu gani?tuanzie hapa kwanza..
 
Naked Truth, degree its just piece of paper
Tabia
Kujitambua
Kujua thamani ya mwenza wako
God fearing
Utu
Usafi wa Mwili roho na Matendo
Hard worker

Yaani Mambo Mengi kuyajua sio lazima uwe umesoma au msomi.
💯 mwenye kutafuta na asikie
 
Ni sifa zake mkuu kama wewe hujasoma kinachokuuma yeye kujitangaza ana degree ni nini. Kuna watu wanapenda mwanamke aliyesoma wewe unapenda mwanamke asiyeenda shule kila mtu ana choices zake hivo waache w anaomatch naye wataongea naye wee pita kuleeeeeee
Tatizo ni kwamba waTz wenye Degree na kuendelea bado tupo wachache sana..so watu wakiona mtu anaweka kigezo cha Degree wanakasirika maana hawana...rudini darasani HIVYO TUUU😀😀
 
Habari wana JF?
Natafuta mume awe na sifa:
-Mcha Mungu Mkristo(Mkatoliki)
-Umri 35-45
-Amejiajiri/Kuajiriwa
-Elimu angalau degree moja na kuendelea
-Muelewa awe na moyo wa upendo na huruma na mwenye kujua maana ya familia

Kuhusu mimi
-Umri 31years,
-Kabila Mwiraqw(Manyara)
-Nina degree moja
-Nimejiajiri
-Nina mtoto mmoja(baba yake ni marehemu)
pm for a serious man only
Elimu inaniangusha kweli. Itabidi nijiendeleze.

Vigezo vyote ninavyo, na kwama kwenye elimu 🤦
 
Ni sifa zake mkuu kama wewe hujasoma kinachokuuma yeye kujitangaza ana degree ni nini. Kuna watu wanapenda mwanamke aliyesoma wewe unapenda mwanamke asiyeenda shule kila mtu ana choices zake hivo waache w anaomatch naye wataongea naye wee pita kuleeeeeee
Nakazia
 
Halafu hiyo ya kutaka degree mwajiliwa/kujiajili wanaogopa kusema mwenye pesa hadharani hivyo wanapunguza ukali wa maneno
Angesema hivyo kua mwenye degree/Master's ni pesa mkononi anytime anaula angeeleweka huyu amelenga Mapesa kwa hio angeongeza kigezo kua awe na Pesa mkononi asije mikono mitupu maana nina mtoto hapa atahitaji kula, kuvaa, kuna kuugua gharama za matibabu & kwenda shule lazima umlipie gharama
 
Habari wana JF?
Natafuta mume awe na sifa:
-Mcha Mungu Mkristo(Mkatoliki)
-Umri 35-45
-Amejiajiri/Kuajiriwa
-Elimu angalau degree moja na kuendelea
-Muelewa awe na moyo wa upendo na huruma na mwenye kujua maana ya familia

Kuhusu mimi
-Umri 31years,
-Kabila Mwiraqw(Manyara)
-Nina degree moja
-Nimejiajiri
-Nina mtoto mmoja(baba yake ni marehemu)
pm for a serious man only
Saitaa
 
Mnadanganyana vibaya sana asee, huko kwenye degree ndio wanakofundisha masuala la uchumba & ndoa au mahusiano au ndio wanapotoa mafunzo ya chumbani jinsi ya kunyanduana, emu acha kua na akili mgando mapenzi hayahusiani na degree/master's, mapenzi ni mapenzi hayapimwi na level ya elimu ya mtu
Ndugu mbona makasiriko?
Tafuta Degree acha kujitetea hapa😀😀😀🙆‍♂️🙆‍♂️

Msomi ni msomi tu..mtu mwenye Degree karuka viunzi vingi mpaka kuipata..uelewa wake ni mkubwa..

Tunapozungumzia ndoa hatuangalii kunyanduana tu kama mawazo yako unavyofikiria..tunaangalia nyanja zote za maisha..mtu mwenye Degree ana uelewa mkubwa hivyo hata katika maisha ya ndoa anaweza kuwa flexible kumaster opportunities tofauti tofauti zinazohitaji elimu na zile zisizohitaji elimu..utamkuta kwenye kilimo vilevile kwenye ajira n.k tofauti kabisa na vihiyo wasio na Degree.

Ndoa nyingi zinaharibika kwasababu watu wanafikiria mapenzi zaidi kuliko mambo mengine ya msingi ikiwemo suala la uelewa wa mambo mengine na elimu ya mwanandoa mwenzio.
 
Msomi ni msomi tu..mtu mwenye Degree karuka viunzi vingi mpaka kuipata..uelewa wake ni mkubwa..
Nina degree mbili Mzee tusichukuliane POA, yaan wewe unaweza ukawa una kadegree kako ka social science Ila hakajakusaidia kitu maana hujanielewa nimemaanisha nini nnaposema mapenzi sio degree/master's, huwezi kunielewa km hujasoma Chuo ambacho watu wanaoana chuoni wanaishi km mke na mume na Chuo kikiisha na mapenzi yameisha so degree ni Nini kwenye mapenzi ?
 
Angesema hivyo kua mwenye degree/Master's ni pesa mkononi anytime anaula angeeleweka huyu amelenga Mapesa kwa hio angeongeza kigezo kua awe na Pesa mkononi asije mikono mitupu maana nina mtoto hapa atahitaji kula, kuvaa, kuna kuugua gharama za matibabu & kwenda shule lazima umlipie gharama
Kapunguza ukali wa maneno sasa ila anataka mwenye hela tu.
 
Habari wana JF?
Natafuta mume awe na sifa:
-Mcha Mungu Mkristo(Mkatoliki)
-Umri 35-45
-Amejiajiri/Kuajiriwa
-Elimu angalau degree moja na kuendelea
-Muelewa awe na moyo wa upendo na huruma na mwenye kujua maana ya familia

Kuhusu mimi
-Umri 31years,
-Kabila Mwiraqw(Manyara)
-Nina degree moja
-Nimejiajiri
-Nina mtoto mmoja(baba yake ni marehemu)
pm for a serious man only
Kwa nini umesisitiza kwamba baba wa mtoto ni marehemu?
Hata hivyo,nakutakia kila la kheri!
 
Elimu inaniangusha kweli. Itabidi nijiendeleze.

Vigezo vyote ninavyo, na kwama kwenye elimu 🤦
Safi sana mkuu..rudi darasani haraka..ukishakua na Degree..pesa kidogo tu au kiajira uchwara wewe utaenjoy sana kwenye nchi hii ya Kusadikika..wasomi bado wachache sana hasa Degree na kuendelea
 
Back
Top Bottom