Natafuta Mume

Sema mpangwa mimi na mizimu ni damu damu,hapo kwenye mcha Mungu simo mimi ni mcha mizimu ,naiheshimiwe mizimu ya Kipangwa tafadhali😀
 
Hakuna Degree ambayo haina uhalisia wa maisha..uwezo wenu mdogo wa kufikiria unafanya muone Degree hazina uhalisia wa maisha...
Elimu ya maisha usilinganishe na elimu ya darasani kuna wenye degree alaf wanazidiwa elimu ya maisha na mtu ambae hajasoma degree ipo kwenye makaratasi tuu na elimu yetu ni ya kujibia mitihani haina uhusiano na uelewa wa maisha au uwajibikaji kwenye mahusiano na kwenye jamii tena vijana wasomi miaka hii ndo wanaongoza kwa anasa uasherati na utandawazi wa magharibi,level ya ujinga au uelewa wa mtu haupimwi kwa degree,elimu ya darasan haina mahusiano kabisa na haimfanyi mtu kuwa smart katika mahusiano,chuoni sikuizi ndio sehemu ya uraibu wa tabia za kina dada zetu na ndio hao hao wadada wa chuo wanaoongoza kujiuza nchi hii sasa iyo elimu imewasaidia nini?.....imefika hatua sikuizi wanaume hawawezi kuoa wadada wanaotoka chuo kwasababu ya mambo haya...elimu inamkomboa mtu katika nyanja ya taaluma tuu sio mambo ya kijamii,tabia wala mahusiano.

Sent from my LG-F500S using JamiiForums mobile app
 
Mgejua degree it just piece of paper ...mgeondoa hayo mawazo ya inferioty complex

Kuwa na degree doesn't mean mtu yupo smart kichwani na anaelewa namna ya ku-take of Family

Hakuna kundi la watu wajinga Kama Wasomi wa Tz it is up to you .
Nakazia
 
Vigezo na masharti vimezingatiwa punguzeni woga vijana,Baba wa mtoto hayupo...
 
Mgejua degree it just piece of paper ...mgeondoa hayo mawazo ya inferioty complex

Kuwa na degree doesn't mean mtu yupo smart kichwani na anaelewa namna ya ku-take of Family

Hakuna kundi la watu wajinga Kama Wasomi wa Tz it is up to you .
Iiwee! Muhaya unaponda digirii kweli?? Kama umezaliwa kipindi Cha IDDI Amin lazima itakuwa ni Mkurya tu!
 
Naomba tushirikiane kwenye kujiajiri nimevutiwa hapo
 
Na ufanikiwe kupata haja ya moyo wako
 
Bolded👍🏽
 
Dada usibadili vigezo Kama unataka wa degree shikilia hapo usikatishwe tamaa… sisi hatujui kwa nn unamtaka wa degree so mtu asikupangie. All the best
 
Kigezo cha kusema unataka awe na degree ndo nimejua kwann hujaolewa unakuja kutafuta mtu JF
 
Mgejua degree it just piece of paper ...mgeondoa hayo mawazo ya inferioty complex

Kuwa na degree doesn't mean mtu yupo smart kichwani na anaelewa namna ya ku-take of Family

Hakuna kundi la watu wajinga Kama Wasomi wa Tz it is up to you .

Kuwa na hiyo degree kwanza ndio utukane [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Wairaq wasiohitaji gedree wamejaa Dongobesh, pisi kinyama na wala hawana mtoto,... Tena uzuri hawawezi kukataa
 
Sijui kwa nini nahisi hii ni I'd ya cute wife, Ila hapo kwenye degree ndio naona atakua sio yeye maana elimu hana ni form four leaver
 
hili tangazo sikuliona sijui nilikuwa wapi tu
 
Kwa kuwa ndiyo ndoto yako Mungu hatakuacha - endelea kumwamini
M
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…