TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,087
- 3,156
Sema mpangwa mimi na mizimu ni damu damu,hapo kwenye mcha Mungu simo mimi ni mcha mizimu ,naiheshimiwe mizimu ya Kipangwa tafadhali😀Habari wana JF?
Natafuta mume awe na sifa:
-Mcha Mungu Mkristo(Mkatoliki)
-Umri 35-45
-Amejiajiri/Kuajiriwa
-Elimu angalau degree moja na kuendelea
-Muelewa awe na moyo wa upendo na huruma na mwenye kujua maana ya familia
Kuhusu mimi
-Umri 31years,
-Kabila Mwiraqw(Manyara)
-Nina degree moja
-Nimejiajiri
-Nina mtoto mmoja(baba yake ni marehemu)
pm for a serious man only