Natafuta Mume

Natafuta Mume

Habari wana JF?
Natafuta mume awe na sifa:
-Mcha Mungu Mkristo(Mkatoliki)
-Umri 35-45
-Amejiajiri/Kuajiriwa
-Elimu angalau degree moja na kuendelea
-Muelewa awe na moyo wa upendo na huruma na mwenye kujua maana ya familia

Kuhusu mimi
-Umri 31years,
-Kabila Mwiraqw(Manyara)
-Nina degree moja
-Nimejiajiri
-Nina mtoto mmoja(baba yake ni marehemu)
pm for a serious man only
Napenda wa iraqwi
 
Ikifika pale pa 'YEYOTE ILI MRADI ANAPUMUA' Mniamshe![emoji1787][emoji1787]

Nashangaa wanavotafutaga mume na kueka mavigezo kibao adi unajiuljza mahari anatoa yeye au
 
Back
Top Bottom