Natafuta mume

Safari hii asikubali tutampa mbwinuu ila akikutana na kende kubwa kubwa atajijua mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa km falaa bhanaa, khaaah
 
Hapo unatafuta wanaume Saba tofauti,hili ndio kosa mnalofanya nyie viumbe,chagua mmoja hapo naamini hata baba yako hana hivyo vyote
 
Weka picha yako
 
Yaani hii Dunia, MUNGU hatishiki na elimu Wala milioni 100, hivi waKristo wengine mnajiitaje waKristo???? Kama vile usogee karibu nikuzabue likibao la mgongo yani
 
Kilichobaki ni kuwa akina Baba Jose tu.
 
kwanin wasabatoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…