Natafuta mume

Natafuta mume

Habari zenu wapenzi. Mimi ni mwanamke wa miaka 26. Ninahitaji mwanaume atakaye kuwa mme wangu
Sifa zangu:
1. Ni mrefu kiasi wa cm 170
2. Nina rangi ya maji ya kunde
3. Nina shape ya kibantu, nimejaaliwa umbo
4. Nina elimu ya chuo kikuu shahada ya uzamili (Masters)
5. Ninafanya kazi ya kuajiriwa katika shirika mojawapo la umoja wa mataifa hapa Tanzania.
6. Ni mkristo mkatoliki
7. Ni mtii na wa kujishusha ninae amini katika u kichwa wa mwanaume kwenye ndoa.

Sifa za mwanaume nimtakaye.

1. Awe mkristo wa dhehebu lolote isipo kua wasabato
2. Awe kwenye maadili mema, asie kunywa pombe Wala sigara
3. Awe aidha na elimu ya chuo kikuu walau bachelor degree, au Kama Hana elimu hiyo, awe na biashara isio pungua mtaji wa milioni Mia moja
4. Awe na kazi yenye kipato kisicho pungua milioni tatu kwa mwezi
5. Awe tayari kupima VVU
6. Awe fundi kitandani (Mimi nipo vizuri eneo Hilo)
7. Awe na umri wa miaka 32 Hadi 40.

Kama una sifa hizo karibu pm. Kama huna waweza kupita kwenye thread zinazo kuhusu.
Ahsanteeh
Kweli wajinga hii Nchi ni wengi., "awe na mtaji wa kuanzia milion mia" kwani unaolewa na mtaji au unaolewa na mwanaume. Wew hata akija kapuku kama anajielewa olewa naye tu mengine Mungu ataajilia.
 
Wakuachee mwayaa, wee tafuta hitaji lakoo, inshaallah utapataa.
Kila LA kheri mwayaa, JF izoeee ndo iko hivi kila siku.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Uduguu sikuweziiii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom