Habari zenu wapenzi. Mimi ni mwanamke wa miaka 26. Ninahitaji mwanaume atakaye kuwa mme wangu
Sifa zangu:
1. Ni mrefu kiasi wa cm 170
2. Nina rangi ya maji ya kunde
3. Nina shape ya kibantu, nimejaaliwa umbo
4. Nina elimu ya chuo kikuu shahada ya uzamili (Masters)
5. Ninafanya kazi ya kuajiriwa katika shirika mojawapo la umoja wa mataifa hapa Tanzania.
6. Ni mkristo mkatoliki
7. Ni mtii na wa kujishusha ninae amini katika u kichwa wa mwanaume kwenye ndoa.
Sifa za mwanaume nimtakaye.
1. Awe mkristo wa dhehebu lolote isipo kua wasabato
2. Awe kwenye maadili mema, asie kunywa pombe Wala sigara
3. Awe aidha na elimu ya chuo kikuu walau bachelor degree, au Kama Hana elimu hiyo, awe na biashara isio pungua mtaji wa milioni Mia moja
4. Awe na kazi yenye kipato kisicho pungua milioni tatu kwa mwezi
5. Awe tayari kupima VVU
6. Awe fundi kitandani (Mimi nipo vizuri eneo Hilo)
7. Awe na umri wa miaka 32 Hadi 40.
Kama una sifa hizo karibu pm. Kama huna waweza kupita kwenye thread zinazo kuhusu.
Ahsanteeh
Kiukweli umewadharau wanaume labda kutokana na elimu yako ya Kazi vimekupa kiburi.
Mwanaume mwenye elimu kubwa wapo hata PhD holder wapo lakini wasilipwe mshahara huo wala kuwa na hyo hela ya mtaji but sijui hayo yote ya mtaji au mshahara vinaingiaje kwenye mapenzi.
What i know about love ni mambo yafuatayo:-
1: mapenzi huendeshwa na principle of 5 pillars of love. Hapa sio mahali pake ningeweka wazi ila in summary ni kupendana.
2: mapenzi is like the flowers, that needs the fertilizer n water in order to nourish it every day tofauti na hapo hufa
3: mapenzi huitaji moyo wa kusamehe na kusahau yaliyopita na kuganga yajayo.
4: mapenzi huitaji mafanikio, means maendeleo ila yenye kusikilizana,kupeana ushauri,kujenga na kisha kufurahia mafanikio hayo bila kujali nani kachangia mawazo tu na mwingine kachangia pesa.
5: mapenzi huitaji mipangilio ya namna ya kutengeneza Future yenu na watoto wenu.
6: mapenzi huitaji wahusika sometimes kuishi kama friends,msiri wako,mshauri wako, nk
7: mapenzi huitaji wapenzi kuishi kwa kuheshimiana.
Kati ya hayo yote niliosema hapo juu,hakuna mapenzi yanayonawiri kisa ni elimu kubwa,kuwa tako au kutokuwa nalo,urefu au ufupi,age, kuwa na hela nyingi,kuishi kama mzungu,kuishi nyumba nzuri nk.
Kwa nini
Mapenzi huundwa kwa pande mbili mmoja kuwa mwanamke na mwingine mwanaume na mwanaume aweze kutimiza haja ya mwanamke na mwanamke hivyo hivyo. Masuala ya utundu,ufanyaje nk yapo kwenye aya ya 1 hapo juu.
Jiulize
K ya mwanamke na mb** ya mwanaume vina elimu gani?kichwa ndo kina elimu.
Solution
Zipo ndoa watu hawajasoma ila zina zaidi ya miaka hata 50
Zipo ndoa za wasomi ndo muda mchache zinakufa.
Cha msingi ni kuwa walau muendane kwa Mambo ya msingi,yaani " a bird of feathers flocks together"
Kama unakunywa oa au olewa na mnywaji mtapendana
Kama huvuti sigara na yeye asivute.
Ila yapo mengineyo huwezi kwepa kama hobbies,mfano mwanaume mpenda mpira, kufanya mazoezi,kuogelea nk.
Mapenzi ni kuvumiliana Sana na pia tabia zenu zipo tofauti hivyo mengineyo ni kuelekezana tu.
Ukiona mtu anaongelea nje ya niliozungumza na kisha kuweka usomi na hela mtasumbuana Kwani badala ya kuweka upendo mbele,hela na mjivuno ya kazi au hela yatakuwa mbele ya mapenzi na dharau itatamalaki. Ndo maana wanaume wengi hawapendi kuoa wasomi maana tatizo lao lipo hapo. Utadharauliwa kisa tu hela na elimu.
Sipondi hayo anayoyasema huyu dada maana mimi nina Master's na pia kwa wiki napata zaidi ya million hivyo naweza ku-qualify ila masharti na vigezo vingi vinatia ukakasi na hapo ndipo mwanamke akifikisha miaka 30 vigezo hivyo cease to operate na atataka yeyote yule.
MWANAMKE ALWAYS SHOULD BE SUBJECTIVE TO HER HUSBAND,NO MATTER WHAT. ILA VIGEZO HIVYO VILIVYOTOLEWA,UKIWA HUNA HELA MFANO HAPO NA MWANAMKE ANAWEZA PATA MILLION MIA KWA MWAKA,JIANGALIE SANA KAMA HUTAITWA MARIOO BASI KAZI ZA NDANI ZITAKUHUSU NA DHARAU JUU.
KILA LA KHERI KATIKA HITAJI LAKO