Natafuta mume

Na MA yako shoga angu we gonjwa la hatari umeona ukimwi tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Huo ukimwi wenye huko Hosp wanagawa dawa bure.

Google homa ya Ini, afu urudi hapa nikupe kaka angu dronedrake take home yake ni M7 monthly.
Hapo kasoma masters fikiria kama asingekuwa kasoma. Hivi HIV ni nini mbele ya homa ya ini
 
Yaan kuanzia mtaji wa million 100, kazi yenye mshahara angalau mil 3, fundi kitandani. Hao takribani watu watano tofauti[emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…