Natafuta mume

Natafuta mume

images.jpeg.jpg





Sasa jichanganyeni na hoja yake ile ya kitandani
 
Na MA yako shoga angu we gonjwa la hatari umeona ukimwi tu 😂😂😂
Huo ukimwi wenye huko Hosp wanagawa dawa bure.

Google homa ya Ini, afu urudi hapa nikupe kaka angu dronedrake take home yake ni M7 monthly.
Hapo kasoma masters fikiria kama asingekuwa kasoma. Hivi HIV ni nini mbele ya homa ya ini
 
Habari zenu wapenzi. Mimi ni mwanamke wa miaka 26. Ninahitaji mwanaume atakaye kuwa mme wangu
Sifa zangu:
1. Ni mrefu kiasi wa cm 170
2. Nina rangi ya maji ya kunde
3. Nina shape ya kibantu, nimejaaliwa umbo
4. Nina elimu ya chuo kikuu shahada ya uzamili (Masters)
5. Ninafanya kazi ya kuajiriwa katika shirika mojawapo la umoja wa mataifa hapa Tanzania.
6. Ni mkristo mkatoliki
7. Ni mtii na wa kujishusha ninae amini katika u kichwa wa mwanaume kwenye ndoa.

Sifa za mwanaume nimtakaye.

1. Awe mkristo wa dhehebu lolote isipo kua wasabato
2. Awe kwenye maadili mema, asie kunywa pombe Wala sigara
3. Awe aidha na elimu ya chuo kikuu walau bachelor degree, au Kama Hana elimu hiyo, awe na biashara isio pungua mtaji wa milioni Mia moja
4. Awe na kazi yenye kipato kisicho pungua milioni tatu kwa mwezi
5. Awe tayari kupima VVU
6. Awe fundi kitandani (Mimi nipo vizuri eneo Hilo)
7. Awe na umri wa miaka 32 Hadi 40.

Kama una sifa hizo karibu pm. Kama huna waweza kupita kwenye thread zinazo kuhusu.
Ahsanteeh
Yaan kuanzia mtaji wa million 100, kazi yenye mshahara angalau mil 3, fundi kitandani. Hao takribani watu watano tofauti[emoji38]
 
Back
Top Bottom