🤣🤣🤣 anataka achanganye awe na 7MKama una hiyo 4m hiyo 3m unaitaka ya nini? Kumbe una hela ya kukidhi mahitaji?
Mfano nikiwa nasafiri kwa wiki mbili hiyo dozi yake iweje mkuu?Ukisafiri unapaswa kuniachia dozi itakayo dumu kwa muda usio kuwepo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tutapigwa ban hapa nikifunguka mkuuMfano nikiwa nasafiri kwa wiki mbili hiyo dozi yake iweje mkuu?
nakuja kule basi tuyajengeTutapigwa ban hapa nikifunguka mkuu
😂😂😂Heheee
Jiandae kisaikolojia 😂😂
Huko hamna hata ile kitu ya kupaka kwa lips zianze kuwaka waka kama umetoka kula kitumbua.
Labda kaka asiwe yuleeee wa kunogea udinini 😎😍🙈
Ki ukweli kwenye dini weee acha tu...Hivi wa sabato wana kasoro gani mpaka wawe isolated na wa Kristo wengine?
Sasa unataka kuzibuliwa spika au?You are absolutely right
'sheria mkononi, amani moyoni'si tuko bize na nyeto huku haina mashart kama hayo
Habari zenu wapenzi. Mimi ni mwanamke wa miaka 26. Ninahitaji mwanaume atakaye kuwa mme wangu
Sifa zangu:
1. Ni mrefu kiasi wa cm 170
2. Nina rangi ya maji ya kunde
3. Nina shape ya kibantu, nimejaaliwa umbo
4. Nina elimu ya chuo kikuu shahada ya uzamili (Masters)
5. Ninafanya kazi ya kuajiriwa katika shirika mojawapo la umoja wa mataifa hapa Tanzania.
6. Ni mkristo mkatoliki
7. Ni mtii na wa kujishusha ninae amini katika u kichwa wa mwanaume kwenye ndoa.
Sifa za mwanaume nimtakaye.
1. Awe mkristo wa dhehebu lolote isipo kua wasabato
2. Awe kwenye maadili mema, asie kunywa pombe Wala sigara
3. Awe aidha na elimu ya chuo kikuu walau bachelor degree, au Kama Hana elimu hiyo, awe na biashara isio pungua mtaji wa milioni Mia moja
4. Awe na kazi yenye kipato kisicho pungua milioni tatu kwa mwezi
5. Awe tayari kupima VVU
6. Awe fundi kitandani (Mimi nipo vizuri eneo Hilo)
7. Awe na umri wa miaka 32 Hadi 40.
Kama una sifa hizo karibu pm. Kama huna waweza kupita kwenye thread zinazo kuhusu.
Ahsantee

Ahsanteeh
Ni vizuri kuwa direct kwenye hoja yako ya msingi but I think ungeomba urafiki kwanza hapo ungeweza kupata population ya kutosha,then ukafanya sampling ambayo ingepelekea kumpata the right candidate atakaye close hiyo relationship gap.
Pambana na akina Mwajuma kandambilisina hata kimoja
wacha nipambane na wazaramo wa Dondwe tu
Huyo hata angeenda mbinguni hawezi kupata mume wa kumuoa labda wa kumtia tu hao atapata wengi.Kwa sifa ulizozitaja hapo huna haja ya kutafuta mme mtandaoni.
Wajinga ndiyo waliwao.
Kabla hujaanza kumpenda si uwa tunajua imani? Ukikaza ukaendelea na mapendo maana yake uko baadae uko tayari kwa mikimiki ya utofauti wa diniKi ukweli kwenye dini weee acha tu...
Unaweza ukamoenda mtu lakini Imani yake ikawa tatizo....boda msilamu kuliko mashahidi WA yehova weeeee hatari.
Kwa hiyo alivyosema msabato nimemuelewa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaaMbona kama muandiko wa njemba hivi...
Anyway Mungu akupe hitaji la moyo wako
Si mnapenda woman on top 😂Wanawake na mashariti mengi utadhani wao ndio wanatuinamisha sisi.
Mie nataka mzigo kwa kesho tu nakupa 10M per night,kama upo tayari ni PMUkisafiri unapaswa kuniachia dozi itakayo dumu kwa muda usio kuwepo🤣🤣🤣