Natafuta mume

Natafuta mume

mbona mashart mengi we acount yako inasoma bilion ngapi? ina tv kwani? ....si tuko bize na nyeto huku haina mashart kama hayo
 
Heheee
Jiandae kisaikolojia 😂😂
Huko hamna hata ile kitu ya kupaka kwa lips zianze kuwaka waka kama umetoka kula kitumbua.

Labda kaka asiwe yuleeee wa kunogea udinini 😎😍🙈
😂😂😂
Vile naenda kinyume na vitu vingi vya ndugu zangu wasabato sijui nitaweka wapi sura yangu..!!
Kweli niache kitimoto kabisa..??
 
Hivi wa sabato wana kasoro gani mpaka wawe isolated na wa Kristo wengine?
Ki ukweli kwenye dini weee acha tu...
Unaweza ukamoenda mtu lakini Imani yake ikawa tatizo....boda msilamu kuliko mashahidi WA yehova weeeee hatari.
Kwa hiyo alivyosema msabato nimemuelewa
 
Habari zenu wapenzi. Mimi ni mwanamke wa miaka 26. Ninahitaji mwanaume atakaye kuwa mme wangu
Sifa zangu:
1. Ni mrefu kiasi wa cm 170
2. Nina rangi ya maji ya kunde
3. Nina shape ya kibantu, nimejaaliwa umbo
4. Nina elimu ya chuo kikuu shahada ya uzamili (Masters)
5. Ninafanya kazi ya kuajiriwa katika shirika mojawapo la umoja wa mataifa hapa Tanzania.
6. Ni mkristo mkatoliki
7. Ni mtii na wa kujishusha ninae amini katika u kichwa wa mwanaume kwenye ndoa.

Sifa za mwanaume nimtakaye.

1. Awe mkristo wa dhehebu lolote isipo kua wasabato
2. Awe kwenye maadili mema, asie kunywa pombe Wala sigara
3. Awe aidha na elimu ya chuo kikuu walau bachelor degree, au Kama Hana elimu hiyo, awe na biashara isio pungua mtaji wa milioni Mia moja
4. Awe na kazi yenye kipato kisicho pungua milioni tatu kwa mwezi
5. Awe tayari kupima VVU
6. Awe fundi kitandani (Mimi nipo vizuri eneo Hilo)
7. Awe na umri wa miaka 32 Hadi 40.

Kama una sifa hizo karibu pm. Kama huna waweza kupita kwenye thread zinazo kuhusu.
Ahsantee

Ahsanteeh

Ni vizuri kuwa direct kwenye hoja yako ya msingi but I think ungeomba urafiki kwanza hapo ungeweza kupata population ya kutosha,then ukafanya sampling ambayo ingepelekea kumpata the right candidate atakaye close hiyo relationship gap.
 
Ki ukweli kwenye dini weee acha tu...
Unaweza ukamoenda mtu lakini Imani yake ikawa tatizo....boda msilamu kuliko mashahidi WA yehova weeeee hatari.
Kwa hiyo alivyosema msabato nimemuelewa
Kabla hujaanza kumpenda si uwa tunajua imani? Ukikaza ukaendelea na mapendo maana yake uko baadae uko tayari kwa mikimiki ya utofauti wa dini
 
Wakati taifa linajadili mambo ya Mkataba wa bandari na DP World, wewe unatafuta Mwanaume mwenye biashara ya M100?
 
Back
Top Bottom