[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dear nimestaafu sasa, au ndo nazeeka hata sielewii.We unaonaje,sio tego hili [emoji1787]
Wewe ni njemba umekuja kuchangamsha tu jf ila kwanini mnafanya Huu ujinga wakujifanya jinsia nyingine kwani huwezi kufikisha ujumbe wako vizuri bila hii njia?Huo Ni uhujumu uchumi, wanauza kwa 50k tu bro
Haya ni wanaume kupenda mteremko, wanajigeuza wanawake wawapige washamba, huu ni mwandiko wa kiume...shtukaUlimaliza form six na miaka 21, ukasoma bachelor miaka 3, hiyo ni 24 ukasoma masters miaka 2 hiyo ndo 26. Hata ujapumzika unatafuta mme ambae ni fundi kitandani, wewe huo ufindi ulijifunzia wapi?
Halafu hapo anataka mtoto mweupe peeeOyaaaa hahahhaa
1.tall
2.handsome
3.dark
4.rich
Ooooo hatari
Dume kabisaWe unaonaje,sio tego hili 🤣
Hamna mke hapo. Ndio maana hata huko UN amekosa mume ameamua kuzamia hukuHuyo tumtakie tu maisha mema basi.
Ni hatari mkuu, HAPA UNAWEZA KWENDA KUTAFUTA MKE UKAISHIA KUPATA MUMEHuoni mwandiko tu ni wa kitapeli mkuu?
Utarudi miguu haina ushirikiano😂😂😂Ni hatari mkuu, HAPA UNAWEZA KWENDA KUTAFUTA MKE UKAISHIA KUPATA MUME
Hasa id mpya jf ni hatarishi zaidi
Dogo hutaki mteremko huo?
Umeliaibisha sana dhehebu la wakristu wakatoliki.Habari zenu wapenzi. Mimi ni mwanamke wa miaka 26. Ninahitaji mwanaume atakaye kuwa mme wangu
Sifa zangu:
1. Ni mrefu kiasi wa cm 170
2. Nina rangi ya maji ya kunde
3. Nina shape ya kibantu, nimejaaliwa umbo
4. Nina elimu ya chuo kikuu shahada ya uzamili (Masters)
5. Ninafanya kazi ya kuajiriwa katika shirika mojawapo la umoja wa mataifa hapa Tanzania.
6. Ni mkristo mkatoliki
7. Ni mtii na wa kujishusha ninae amini katika u kichwa wa mwanaume kwenye ndoa.
Sifa za mwanaume nimtakaye.
1. Awe mkristo wa dhehebu lolote isipo kua wasabato
2. Awe kwenye maadili mema, asie kunywa pombe Wala sigara
3. Awe aidha na elimu ya chuo kikuu walau bachelor degree, au Kama Hana elimu hiyo, awe na biashara isio pungua mtaji wa milioni Mia moja
4. Awe na kazi yenye kipato kisicho pungua milioni tatu kwa mwezi
5. Awe tayari kupima VVU
6. Awe fundi kitandani (Mimi nipo vizuri eneo Hilo)
7. Awe na umri wa miaka 32 Hadi 40.
Kama una sifa hizo karibu pm. Kama huna waweza kupita kwenye thread zinazo kuhusu.
Ahsanteeh
Nipo Jf huu mwaka wa nneHasa id mpya jf ni hatarishi zaidi